secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #61
Kweli mkuu nimetelza.maintain client confidentiality.
Nimevunja principle ya kanseling.
Kweli mkuu nimetelza.maintain client confidentiality.
humu tunawajua members wenye matusi, lugha zenye ukakasi na wajeuri
Wanakuzidi wewe?Wana nguvu za kiume 😀
Watu wanasema mimi nina matusi na lugha chafu.humu tunawajua members wenye matusi, lugha zenye ukakasi na wajeuri
Hakuna wa kunizidi ndo maana sijajitaja.Wanakuzidi wewe?
Wewe tena hivi yule Nusratt aliendaga wapi?Hakuna wa kunizidi ndo maana sijajitaja.
Wala sijui alikoenda.Wewe tena hivi yule Nusratt aliendaga wapi?
kwa wewe sijaona kwa kweliWatu wanasema mimi nina matusi na lugha chafu.
Luka ni mchekeshaji wakati mwingine.Luca anasema hajabubujikwa kwasababu ni picha iliyo editiwa na wahuni eti😅😅😅
Mimi ni mtu mwema lakini napenda tu utani maana JF kwangu ni sehunya kuhabarika pamoja na kuburudika.kwa wewe sijaona kwa kweli
HahahaNakuonaa upo SITI ya mbele dirishaniii
Mimi fikra zangu ziko mbali na Dunia.wewe vipi?
Hapana mkuu.Wewe ndo mungu??
Yule Mh Rais, Dennis unamuweka kundi gani?Hawa members comments zao zinanivutia sana maana hawazungumzii vitu kutokana na hisia zao au story wanazozisikia mtaani. Nao ni Hawa hapa 👇.
Kiranga
Infropreneur
Tanganian
Robert Heriel Mtibeli
Nitazidi kuongeza orodha.
Kwa upande mwingine Kuna Hawa members ambao hufanya au jus judge vitu kwa kutumia hisia zao, story za za mitaani na za kwenye vibanda umiza.
Ni warahisi sana kuwadanganya maana huamini Kila kitu kinachosemwa na yule wampendayeau aliyeko mamlakani.
Hawa si wengine bali ni Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe chiembe GENTAMYCINE pamoja na Setfree.
😁😁ntapotea nikiolewaWala sijui alikoenda.
Ila ungepotea wewe nami ningpotea pia maana mimi na wewe ni kitu na boksi.
Yule nataka nibishane naye kwanza kwenye Uzi kisha nitapata pa kumwekaYule Mh Rais, Dennis unamuweka kundi gani?
Kwa hiyo tukioana tunapotea machoni pa watu, siyo?😁😁ntapotea nikiolewa