secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #201
Kwa jinsi tunavyoheshimiana na Ayatollah huyo jamaa namfuata PM Ili afute Uzi wake.Kuna mmoja anayefikiria nje ya box alisema kufikia July mwaka huu Iran itakuwa imesambaratika 🤣🤣🤣
![]()
Kukiendelea hivi, mpaka mwezi July Iran itakuwa imeanguka
Tupo Salama! Wanasema ukipigana na adui mwenye nguvu usimshambulie kwa harakaharaka. Usiende kwa Kasi Sana. Kadiri unavyomshambulia kwa haraka adui mwenye nguvu kukuzidi ndivyo unavyojimaliza kwa upesi. Adui mwenye nguvu hupigwa na kuangushwa polepole! Polepole kwa uhakika. Polepole ni...www.jamiiforums.com