Hawa ni Mapapa watatu kutoka Afrika na namna walivyoubadilisha Ukristo

Hawa ni Mapapa watatu kutoka Afrika na namna walivyoubadilisha Ukristo

Hatimaye BBC wameokoteza habari kuonesha kwamba hata bara la Afrika lilishawahi kutoa papa. Hii inaua hoja kwamba, safari hii Papa atoke Afrika. Ikiibuka hoja ya kutaka Papa Mweusi, tutasema huo ni ubaguzi wa rangi katika dini!

Habari kamili;
Tusiangalie rangi ya Papa tuangalie uwezo wa Papa kufanya kazi ya upapa, ni kama ilivyo kwa paka ukistick kwenye rangi yake unaweza usipate matokeo chanya, tazama uwezo wake kukamata panya
 
Afrika inamuamini sana Mungu, ni bora papa atoke Afrika palipo na injili motomoto
 
Back
Top Bottom