Hawa ni watu maarufu duniani ambao viatu vyao vimekosa mvaaji

Nani ame mpa Pele u King wa life time kwenye Soka?

Unaweza kuweka evidence yeyote hapa ili kuprove madai yako?
Ingia google mkuu, au kwa kukusaidia angalia hapo kwa hiki nilichokutumia. Bila shaka unaelewa kingereza na unaelewa ni nini maana ya mtu kuchaguliwa kuwa "LABELLED" wa kitu fulani mkoani, nchini au duniani.
Yani toka miaka hiyo mpaka mwaka huu tar 24 Feb 2022 Pele ndio anaendelea kutambulika kama king au mfalme wa mchezo wa soka duniani.
Hiyo labelled inamaanisha yeye ndio alama ya mchezo huo wa mpira kama ilivyo kwa Mohamad Ali masumbwi, Bob Marley reggae na wengine wengi wa aina hiyo ktk tasnia mbali mbali duniani. Kila mchezo una muakilishi wake ambae anatambuliwa kama ni mfalme wa mchezo huo duniani, haijalishi watakuja wa zaidi yake au not heshima ya king itabaki pale pale kwa wahusika wa mchezo husika.
 

Attachments

  • Screenshot_20220826-160611.jpg
    36.6 KB · Views: 27
Aliyevaa viatu vya Mohammedi Ali ni IRON MIKE TYSON


Aliyevaa viatu vya Bob Marley ni LEGEND LUCKY DUBE
Ya hakika hawa ma legendary wawili Mike Tyson na Lucky Dube walijitahidi kuwa na miguu iliyokaribia kuenea viatu vya wafalme wao, pia hata kwa upande wa Bruce Lee wanasema legendary mungine ni Jackie Chan nae ni moto wa kuotea mbali, ila ndo hivyo walikuwa na vidole vifupi kwahiyo viatu havikuwatosha vizuri.
 
Kweli Mkuu. Man UTD tunateseka sana
Yani mimi mkuu toka huyu mzee alipoondoka ktk nafasi yake kama manager na kocha wetu basi mpira wenyew nimepunguza speed ya kuupenda maana nimeona unaweza kuniletea ugonjwa wa moyo bure.
Hakuna atakaekuja kuziba pengo la yule mzee kwa sasa, hakuna kabisa.
 
Ongeza JPM
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hakuna king wawili kwenye tasnia. Hapo kwenye mpira tayari kaishabana mzee Pele wa brazil toka miaka hiyo. Hata waliotaka na Maradonna aongezwe walichemsha, sembuse ije kuwa bwana mdogo Mesi??
Pele mpaka wamatumbi wameongeza kivumishi, "Alicheza kama pele" maanake hapo muhuni alitisha sana.
 
Wewe jamaa acha kuongea bila takwimu mwenye ngumi hamna anayemfikia Mike tyson kaangalie talwimu zake na uwaaulize wataalamu katika hiyo fani.inawezekana kabisa Mohammed Ally anapenda lakini hamzidi Tyson katika fani.
 
1) Mohammad Ali
2) Bob Marley
3) Bruce Lee
4) Michael Jordan
5) Michael Jackson
6) 2pac Shakur
The Greatest of All Time- GOAT

Tukija Tanzania tuna hawa chini:
1) Julius Nyerere - Uhuru wa nchi yetu.
2) Marijani Rajabu - mziki
3) Madaraka Selemani - soka
4) Malkia Khadija Kopa - taarab
 
Wewe jamaa acha kuongea bila takwimu mwenye ngumi hamna anayemfikia Mike tyson kaangalie talwimu zake na uwaaulize wataalamu katika hiyo fani.inawezekana kabisa Mohammed Ally anapenda lakini hamzidi Tyson katika fani.
Tyson mzee wa vikombe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unakula vitasa hadi unazimia
 
Kwenye kabumbu atakuwa nani labda? Hawa wawili kizazi hiki wako favoured na teknolijia ya mawasiliano kuwa kubwa kupindi chao, lakini kama watafanyiwa ulinganifu wa ki-namba, pengine ubora wa enzi utafananishwa kisha apatikane Bora wa mabora
Kwa kawaida kila tasnia huwa na king mmoja anaeiwakilishia tasnia husika. Kwahiyo kwa soka king miaka yote huwa ni mzee Pele mkuu.
 

Attachments

  • Screenshot_20220826-160611.jpg
    36.6 KB · Views: 20
Wewe jamaa acha kuongea bila takwimu mwenye ngumi hamna anayemfikia Mike tyson kaangalie talwimu zake na uwaaulize wataalamu katika hiyo fani.inawezekana kabisa Mohammed Ally anapenda lakini hamzidi Tyson katika fani.
Mkuu nakufananisha na The Icebreaker alietaka kusema kuwa Messi ndio awe king wa soka wa miaka yote.
Na wakati fact zinatamka kuwa king wa soka wa miaka yote ni mzee Pele.

Sasa na ww kama unataka kumjua king wa muda wote wa ngumi angalia hapo pichani.
 

Attachments

  • Screenshot_20220826-172228.jpg
    40.1 KB · Views: 20
Wakati Pele anacheza soka hakukua hata na sheria ya Offside,alikua anatupia tu kambani,

MESSI ndio mfalme wa soka hata makocha wakubwa wanatambua hilo,

Ila ruksa kwako kuamini kua Pele ndio King.
 
Wewe jamaa acha kuongea bila takwimu mwenye ngumi hamna anayemfikia Mike tyson kaangalie talwimu zake na uwaaulize wataalamu katika hiyo fani.inawezekana kabisa Mohammed Ally anapenda lakini hamzidi Tyson katika fani.
Pia mkuu kama hautojali soma comment namb 34 na 36 kuna mkuu alileta hoja inayofanana na yako ila yeye alimzungumzia Messi dhidi ya Pele kama vile wewe unavyomzungumzia Tyson dhidi ya Mohammad Ali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…