Hawa viongozi mbona kama wameyatelekeza maeneo yao, wanasubiri hadi muda wa Uchaguzi waje kutupanga tena

Hawa viongozi mbona kama wameyatelekeza maeneo yao, wanasubiri hadi muda wa Uchaguzi waje kutupanga tena

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Wakuu, hivi mmegundua kila unapofika mwaka wa Uchaguzi wowote uwe wa Serikali za Mitaa au Uchaguzi Mkuu, ndio muda ambao miradi mingi huwa inadorora! Barabara zinakuwa mbovu kupita maelezo, huduma za muhimu zinakwama hadi karibu na muda wa kampeni ndio unawaona Wagombea wanarudi na ahadi kibao.

Utasikia mkinipi miaka mingine nitatatua shida zote za eneo hili, na ubaya ni kwamba wananchi wengi huwa wanadanganyika na wanawapa kura tena.
 
Mabula WA nyamagana mwanza asirudi. CCM tuleteeni mwingine au upinzani komaeni mtupe mwakilishi mzuri.
Mabula ni mshenz sana
 
Babutale hatumtaki tena Morogoro, alichofanikiwa yeye ni kuwaleta Wasafi tu kurukaruka wakati wa kampeni.
 
Back
Top Bottom