Hawa wabongo ndugu zetu waliokuwa wanalipwa dola na kutembelea DFP ulikuwa ukimuomba kazi anakuletea dharau sasa kiko wapi?

Aisee sijaona chuki na psychological torture kama yako ulikouwa unapitia kipindi chote hiki. Kwani wanaotembelea DFP na wanaolipwa dola ni hao tu wanaofanya kazi ambao directly wamekuwa affected na significations za Trump tangia aingie madarakani?
Alafu kwenye mafanikio kiroho na kimwili hutakiwi uwe na hii hali ya kuthibitisha kilichoujaza moyo wako. We unajuaje labda huyo dada alikuwa very occupied to the extent akawa anashindwa kukeep intouch with you all that time? Mabadiriko ya mtu juu ya jambo ulitakalo lisikufanye kuwa na conclusion mapema hivyo..
Jenga tabia ya kuapreciate any response ili ikujenge zaidi
 
wahuni sasahivi wanamlaani sana yule mlenga SHABAHAπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€—πŸ€—πŸ€—

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒNDO KWANZA TRUMPET MZEE WA KAZI ANA SIKU 15 MJENGONI.NGOMA BADO MBICHI SANA!!!
Noma sana
 
Uko ndo atapona maana Atarudi kulia lia hapa kutafuta mme
 
Aisee...
Hivi wewe na mchawi mna tofauti gani?
 
Kazi gani unajua niliomba kuna Kazi ambayo mtu hawezi kufanya katika hayo mashirika ?
Sio kila kazi kila mtu anaweza kufanya kwenye mashirika, na ni sehemu zote sio lazima mashirikq. Inategemea na eneo ulibobea au kusomea. mfano, umesoma sociology halafu wanatafuta BI Solutions Manager. Hiyo kazi utafanyaje?
 
Wewe nae acha nongwa.

Wanawake ndivyo walivyo akikupa connection nenda kwenye KABURI la babu yako ukatambike hao viumbe ni nature yao kuwa wabinafsi.Connection zao huwq lazima uwe na nyota ndo zikudondokee.
Hii comment yako naipiga na lamination, mwanangu sijui hawa Watu baadhi wanashida gani maana kaah
 
Kwa behaviour kama hizi utasota sana mtaani, sababu shida ni wewe. Watu wa NGO wengi wanaajirika watapata kwenye NGO nyingine wewe utaendelea kusota mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…