Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 815
- 1,558
Kama tupp bongo maniggaš¤£"huku kwetu bongoman
ukizipata hizo money
unachukiwa kinoma noma vinaanza visilani....." -mbosso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tupp bongo maniggaš¤£"huku kwetu bongoman
ukizipata hizo money
unachukiwa kinoma noma vinaanza visilani....." -mbosso
Nlitaka nimwambie sio kila DFP ni la mmarekani aache ujuaji š¤£š¤£š¤£š¤£Mnajidanganya sana, angalieni dfp mpya za juzi zilizoshuka. Mnadhani kazi ni usaid tu, majobless bwana.
Vijana bendera fata upepo. Yeye anajua usaid ndio shirika pekee linafanya vitu duniani. Hajui lolote.Nlitaka nimwambie sio kila DFP ni la mmarekani aache ujuaji š¤£š¤£š¤£š¤£
Ajifunze kuishi vizuri na watu sio kufurahia matatizo yao.
Hata zaidi. Mmepewa nafasi kujitathmini sio kujiona mko perfect na ubinafsi wenu.Mkuu kwahyo ulikuwa unatamani mambo yawe hivo yalivokuwa sio.
salaam mkuu, u hali gani?Vituko vitupu, last time Magnus aliwakatalia kubadili nguo. Naona beef linaendelea.
What happenned to chess?
Duuu!Hata zaidi. Mmepewa nafasi kujitathmini sio kujiona mko perfect na ubinafsi wenu.
Mbona nimehisi una tatizo LA akili ama msongo mkubwa wa mawazo?Duh aiseee
Mbona nimehisi una tatizo LA akili ama msongo mkubwa wa mawazo?
Una koment sentensi hii katika mada zaidi ya kumi kwa wakati mmoja.
Yaani kama nafasi yako haikuwa na matokeo chanya kwenye jamii inayokuzunguka, ukitemwa kazini utajuta. Alafu nashangaa viongozi saizi ndio wanajinasibu et tunaweza jitegemea, mlikuwa wapi siku zoteKuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma
Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara
Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .
So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless
Kiko wapi
Mbona bado wapo kazini.Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma
Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara
Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .
So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless
Kiko wapi
Ndugu zangu PM yangu haifunguki."The youth can walk Faster but only the elders knows the road well"