Hawa wabongo ndugu zetu waliokuwa wanalipwa dola na kutembelea DFP ulikuwa ukimuomba kazi anakuletea dharau sasa kiko wapi?

Hawa wabongo ndugu zetu waliokuwa wanalipwa dola na kutembelea DFP ulikuwa ukimuomba kazi anakuletea dharau sasa kiko wapi?

Nlitaka nimwambie sio kila DFP ni la mmarekani aache ujuaji 🤣🤣🤣🤣
Ajifunze kuishi vizuri na watu sio kufurahia matatizo yao.
Vijana bendera fata upepo. Yeye anajua usaid ndio shirika pekee linafanya vitu duniani. Hajui lolote.
 
  • Kicheko
Reactions: apk
Wa DFP nao walijiona wazungu hahahaha...mitazamo, ubinafsi kuona wengine wazembe. Alafu unaambiwa wanafanya kazi za kusaidia binadamu unajiuliza hao binadamu wanaowasaidia ni wa Sayari ipi..?
 
Hili kundi linafika kuleta ushindani kwa vijana wasaka ajira! Vijana wanaenda kula za uso tena linavyo kuja swala la experience , exposure na qualifications. Maumivu bado ni palepale tu.
 
Vituko vitupu, last time Magnus aliwakatalia kubadili nguo. Naona beef linaendelea.

What happenned to chess?
salaam mkuu, u hali gani?

Magnus wali mrudisha na aka shinda Ile tournament, Sema wali igawana yeye na Ian nepomniatchit.

Watu Waka kasirika na kuita match fixing 🤣.

si na yeye aka anzisha freestyle chess.
hii iko tofauti na Ile fide.
Sasa kuna title ya world champion, ndo wana gombea bado. Kiranga
 
Oooh another innocent neck carrying an empty head. Poor you hadi comment hio yenye maneno machache inakutoa povu duh aiseee
Mbona nimehisi una tatizo LA akili ama msongo mkubwa wa mawazo?

Una koment sentensi hii katika mada zaidi ya kumi kwa wakati mmoja.
 
Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma

Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara

Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .

So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless

Kiko wapi
Yaani kama nafasi yako haikuwa na matokeo chanya kwenye jamii inayokuzunguka, ukitemwa kazini utajuta. Alafu nashangaa viongozi saizi ndio wanajinasibu et tunaweza jitegemea, mlikuwa wapi siku zote
 
  • Thanks
Reactions: apk
"The youth can walk Faster but only the elders knows the road well"
 
Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma

Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara

Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .

So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless

Kiko wapi
Mbona bado wapo kazini.
Roho mbaya haikuongezei kipato ujue.
 
Haya wote hamna kazi ndo furaha yako Sasa, ndio maana hata hiyo kazi hukupata kwa sababu ya roho yako mbaya
 
"The youth can walk Faster but only the elders knows the road well"
Ndugu zangu PM yangu haifunguki.
Nilijaribu kuuomba uongozi wa jamii forum unitatulie hilo tatizo, naona bado hawajashughulikia.

Hua naona notification lkn hazifunguki. Kwa hivyo msije mkaona ninadharau kutokujibu PM.
 
Muda wote huo hajaanzisha biashara yake? Kama hajaanzisha anatakiwa awe na mtaji usiopungua 30M kwa uchache
 
Back
Top Bottom