Hawa wahuni wamenipiga au ni real? Gari iingie Nchini 2013 mpaka leo iwe na km 150,000 tu. Inawezekana?

Hawa wahuni wamenipiga au ni real? Gari iingie Nchini 2013 mpaka leo iwe na km 150,000 tu. Inawezekana?

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Nikicheck Odo sasa hivi ndo nawaza kuwa hawa wahuni huenda kuna mchezo wamenichezea. Wabongo si watu wa kuaminika. Wakongwe na wazoefu nipeni experience katika hili.
Ilikuja bongo kwa ajili ya mradi maalumu then ikawa ya mtú na sasa kavuta. Mtoto hawezi kuiendesha /kuigharamia
Thanks
 
Ananunua gari chakavu ndani ya Nchi wakati Serikali imeongeza kodi kwenye muda wa uchakavu ili anunue jipya ukiona ana mashaka hiyo ndiga ina miguu haipo sawa...
Ukweli namna alivyo na kejeli humu nikawa nahisi anakula pamoja na elite 😅😅

Aliposema gari used 150,000 nimetokwa na machozii, hisia zangu zilinidanganya pakubwa sanaa
 
Ukweli namna alivyo na kejeli humu nikawa nahisi anakula pamoja na elite 😅😅

Aliposema gari used 150,000 nimetokwa na machozii, hisia zangu zilinidanganya pakubwa sanaa
Mkuu ulikua na hisia mbaya sana aisee yeye tukisema hiki akipo sawa anajua tunatumia guta kusafiri kumbe hata idadi ya magari tuliyonunua tumesahau..
 
Back
Top Bottom