Hawa wahuni wamenipiga au ni real? Gari iingie Nchini 2013 mpaka leo iwe na km 150,000 tu. Inawezekana?

Hawa wahuni wamenipiga au ni real? Gari iingie Nchini 2013 mpaka leo iwe na km 150,000 tu. Inawezekana?

Kama muuza magari na fundi ngoja nimshauri tu roho mbaya haijengi kabadilishe hiyo oddo pata ya mileage chache za IST ya 2005 zinapatikana kwa mfuga mbwa..
 
  • Kicheko
Reactions: Oho
Nikicheck Odo sasa hivi ndo nawaza kuwa hawa wahuni huenda kuna mchezo wamenichezea. Wabongo si watu wa kuaminika. Wakongwe na wazoefu nipeni experience katika hili.
Thanks
Kawaulize machoko wenzako wa lumumba walamba uchi wa samia na shoga Abduli .Mbwa wewe
 
Samia atosha tukutane 2030 umeshindwa kununua 0 km ?😁
 
  • Thanks
Reactions: Oho
Na uchawa wote ananunua gari used 😅😅 ndio utajua hawa watu ni tatizo wenzao wanaangiza ma bentley flying spur wao wanaishi kwenye used ndio utaelewa akili zao zilivyo
badala ya kwenda CMC motor pale achukue jiko jipyaaa
Bei ya hii gari nje unapata vigari vidogo 3
 
Back
Top Bottom