Hawa wakiamua kuanzisha chama, CCM kwisha habari yake

Hawa wakiamua kuanzisha chama, CCM kwisha habari yake

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Team hii ikianzisha chama au kujiunga na chama chochote kati ya CHADEMA na ACT, basi CCM itabaki na Jiwe!
1. Membe
2. Kinana
3. Makamba
4. Nape
5. Ngeleja
6. Mwigulu
7. Mwele
8. Maria Sarungi
9.Fatma Karume
10. Wakili Jebra Kombole
11. Kagasheki
12. Profesa Mwandosya.....
13. Kigogo@2014 (though incognito!)
14. and other pertinent opponents ofJiwe politics ambao wako CCM kwa ajili ya matumbo yao, then kwishney CCM
 
Kinakufa masaa 8 baada ya kuanzishwa. .

Sikia tu kwenye bomba issue za kuanzishwa any organization worth calling....
Alishindwa Sitta na Napped those golden days ndio waje waanze wao....

Dady I'm going.... hawana lolote.. sorry to say this !
 
Retired,
Kumbe unajua kabisa kuwa CHADEMA haina uwezo wowote bila kusaidiwa na mamluki? Tuambie vizuri, watahamia CHADEMA kwa sababu wamekosana na Magufuli au kwa sababu wanaamini kwenye sera za Chadema?

Jambo moja linalonishangaza ni kuwa CHADEMA haiishi kula makombo! Je, hao uliotaja kuna mwenye nguvu na ushawishi aliokuwa nao Lowassa?

Naowanea huruma sana!
 
Kumbe unajua kabisa kuwa Chadema haina uwezo wowote bila kusaidiwa na mamluki? Tuambie vizuri, watahamia Chadema kwa sababu wamekosana na Magufuli au kwa sababu wanaamini kwenye sera za Chadema? Jambo moja linalonishangaza ni kuwa Chadema haiishi kula makombo! Je, hao uliotaja kuna mwenye nguvu na ushawishi aliokuwa nao Lowassa? Naowanea huruma sana!
Mambo ya sera yanakuja baadaye ukisha mpiga adui wako, . "Chase the HYENA first and then come to warn the HEN about wandering into the forest...by CHINUA ACHEBE
 
Mambo ya sera yanakuja baadaye ukisha mpiga adui wako, . "Chase the HYENA first and then come to warn the HEN about wandering into the forest...by CHINUA ACHEBE
Na fomula hii ndiyo mlitumia kwa Lowassa mkaishia kulamba kidonda kama nzi. Watu walikuwa wanajidanganya hivi hivi unavyosema: ''tuiondoe CCM kwanza mengine baadae''! Hii ni hatari sana. Inaonyesha upinzani hauna malengo na uko tayari kukumbatia ubovu wowote ili tu uingie Ikulu!
 
Hapana Lowasa alileta wabunge over 100! Unadhani hayo siyo mafanikio? Na kura zake ziliibiwa, Lowasa would be a president today had it not been for the rigging of the votes!
 
Back
Top Bottom