BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Kwa point hii, inathibitisha kuwa bado hatuna vyamavya upinzani vyenye ajenda isipoku tunao wajasiliamali wa kisiasa basi.Team hii ikianzisha chama au kujiunga na chama chochote kati ya CHADEMA na ACT, basi CCM itabaki na Jiwe!
1. Membe
2. Kinana
3. Makamba
4. Nape
5. Ngeleja
6. Mwigulu
7. Mwele
8. Maria Sarungi
9.Fatma Karume
10. Wakili Jebra Kombole
11. Kagasheki
12. Profesa Mwandosya.....
13. Kigogo@2014 (though incognito!)
14. and other pertinent opponents ofJiwe politics ambao wako CCM kwa ajili ya matumbo yao, then kwishney CCM