- Thread starter
- #101
Swali zuri sana!Wewe makombo unaona yanaliwa upande mmoja tu e๐๐๐๐๐๐
Swali zuri sana!Wewe makombo unaona yanaliwa upande mmoja tu e๐๐๐๐๐๐
๐๐๐ mzee chinua bana !Mambo ya sera yanakuja baadaye ukisha mpiga adui wako, . "Chase the HYENA first and then come to warn the HEN about wandering into the forest...by CHINUA ACHEBE
Ni kweli lakini,hao ushawishi wao ni upi?
HAPO NAONA UMETUELIMISHA UMMA KUWAJUA WALIOIHARIBIA CCM KWA WANANCHI.Team hii ikianzisha chama au kujiunga na chama chochote kati ya CHADEMA na ACT, basi CCM itabaki na Jiwe!
1. Membe
2. Kinana
3. Makamba
4. Nape
5. Ngeleja
6. Mwigulu
7. Mwele
8. Maria Sarungi
9.Fatma Karume
10. Wakili Jebra Kombole
11. Kagasheki
12. Profesa Mwandosya.....
13. Kigogo@2014 (though incognito!)
14. and other pertinent opponents ofJiwe politics ambao wako CCM kwa ajili ya matumbo yao, then kwishney CCM
Unapoongelea CCM unangelea nguvu ya JPM nchini kwa sasa.Wanajua ndio maana wamejikita kwenye kutumia PoliceCCM
Hao wabunge leo wapo wapi? Mnachezewa akili mmebaki kukenua km mazuzu ๐ฌ๐ฌ๐ฌHapana Lowasa alileta wabunge over 100! Unadhani hayo siyo mafanikio? Na kura zake ziliibiwa, Lowasa would be a president today had it not been for the rigging of the votes!
Ni kweli lakini,hao ushawishi wao ni upi?
HAPO NAONA UMETUELIMISHA UMMA KUWAJUA WALIOIHARIBIA CCM KWA WANANCHI.
CCM kama chama kina wafuasi zaidi ya milioni nane nchini.
Hiyo orodha yako ni ya wale waliokuwa wakitumia fedha na mitandao ya rushwa kukiharibu chama.
Isipokuwa NAPE ambaye ujana na mapenzi ya mjini yalimponza.
Lakini pia huu ni muendelezo wa Dua la mwewe ambalo mnaiombea CCM ipate mgogoro ili mpate nafasi ya kupata wafuasi.
Ila it is too late,hao wote kwa hii CCM mpya ya Bashiru,
Hao ni out of order.
#viva JPM 2020 = 2025 [emoji1241][emoji818]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoongelea CCM unangelea nguvu ya JPM nchini kwa sasa.
Ebu vua miwani,angalia mbele!
UMEONA NINI? [emoji1241][emoji818]JPM 2025[emoji818][emoji724]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wabunge leo wapo wapi? Mnachezewa akili mmebaki kukenua km mazuzu [emoji51][emoji51][emoji51]
Safari hii mpende msipende lazima tume huru inaanzishwaTanzania hii hata waje wajumbe wa democratic na republican kutoka Marekani, washirikiane waziishe chama cha siasa hapa nchini kamwe hawawezi kuiondoa CCM madarakani.
CCM itaondolewa madarakani kwa:-
1. TUME HURU YA UCHAGUZI (Litachelewa sana)
2. MAANDAMANO YA WANANCHI NCHI NZIMA (Haliwezi kutokea)
3. MAPINDUZI YA KIJESHI (Haliwezi kutokea)
Kwa As long as Mwenyekiti wa CCM ndio mwenye mamlaka ya kuteua mwenyekiti, wakurugenzi na wajumbe wa NEC sahau CCM kutoka madarakani.
Mfumo wa WAKUU WA MIKOA NA WILAYA (Makada wa ccm) kuwa wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama, sahau CCM kutoka madarakani.
Sent using Cash Money Wings
Yawezekana wewe huioni lakini wengine wanaiona.sasa Ngeleja na Mwigulu nao wana influence gani?
Si tu kuingia Ikulu, mission hapa ni kuiondoa ccm kwanza, (mengine yatafuata), kwa namna yeyote ile, ccm ndio chanzo cha matatizo ya nchi hii, ndio donda ambalo ni lazima kulikatia kwa chini, watu waliposema wako tayari kumsimamisha hata shetani kugombea, ikigundulika anaweza kutuwezesha kuliondoa hili donda linaloitwa ccm hamkuwaelewa vema, mngejisumbua hata kidogo tu kujiuliza maswali mngeelewa, ccm ni kansaNa fomula hii ndiyo mlitumia kwa Lowassa mkaishia kulamba kidonda kama nzi. Watu walikuwa wanajidanganya hivi hivi unavyosema: ''tuiondoe CCM kwanza mengine baadae''! Hii ni hatari sana. Inaonyesha upinzani hauna malengo na uko tayari kukumbatia ubovu wowote ili tu uingie Ikulu!
yote ulyoyasema yanawezekana! Hata KANU ilikuwa na nguvu za polisi kama hapa. External influence inaweza kuyaleta hayo yote!Tanzania hii hata waje wajumbe wa democratic na republican kutoka Marekani, washirikiane waziishe chama cha siasa hapa nchini kamwe hawawezi kuiondoa CCM madarakani.
CCM itaondolewa madarakani kwa:-
1. TUME HURU YA UCHAGUZI (Litachelewa sana)
2. MAANDAMANO YA WANANCHI NCHI NZIMA (Haliwezi kutokea)
3. MAPINDUZI YA KIJESHI (Haliwezi kutokea)
Kwa As long as Mwenyekiti wa CCM ndio mwenye mamlaka ya kuteua mwenyekiti, wakurugenzi na wajumbe wa NEC sahau CCM kutoka madarakani.
Mfumo wa WAKUU WA MIKOA NA WILAYA (Makada wa ccm) kuwa wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama, sahau CCM kutoka madarakani.
Sent using Cash Money Wings
waanzishe chama lao.safari hii wakija upinzani wanakuwa tu wanachama wa kawaidaTeam hii ikianzisha chama au kujiunga na chama chochote kati ya CHADEMA na ACT, basi CCM itabaki na Jiwe!
1. Membe
2. Kinana
3. Makamba
4. Nape
5. Ngeleja
6. Mwigulu
7. Mwele
8. Maria Sarungi
9.Fatma Karume
10. Wakili Jebra Kombole
11. Kagasheki
12. Profesa Mwandosya.....
13. Kigogo@2014 (though incognito!)
14. and other pertinent opponents ofJiwe politics ambao wako CCM kwa ajili ya matumbo yao, then kwishney CCM
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]Uhujumu uchumi upo na mahakama itapokea, kesi zote 7.
CCM wanajiamini sanaHapo ndipo mnapofelia
Mnadhani kila rule haina exception
Msipoangalia vizuri mna pay back big time
Sisimizi alimuangusha tembo,kueni makini,na hizi dharau muwe mnaacha!