barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Sio leo wala kesho maana upande wa pili hawajulikani kabisa wanachosimamia. Wako hoi bin taaban na hii ni auheni kubwa kwa sisiemu.Lazima CCM igawanyike, and by that it becomes weak! Nimesema CCM itakuwa taabani na hivyo kuondoka madarakani! take my point!