Hawa wakiamua kuanzisha chama, CCM kwisha habari yake

Hawa wakiamua kuanzisha chama, CCM kwisha habari yake

Kumbe unajua kabisa kuwa Chadema haina uwezo wowote bila kusaidiwa na mamluki? Tuambie vizuri, watahamia Chadema kwa sababu wamekosana na Magufuli au kwa sababu wanaamini kwenye sera za Chadema? Jambo moja linalonishangaza ni kuwa Chadema haiishi kula makombo! Je, hao uliotaja kuna mwenye nguvu na ushawishi aliokuwa nao Lowassa? Naowanea huruma sana!
OK lakini bashru alikuwa mwanachama wa kafu polepole sijui alikua nnccr???
 
Mamluki ni mtu anaye kwenye kundi lakini haamini au lengo lake ni tofauti na wale wengine na mara nyingi anakuwepo kwa mision maalum.
NI sawa, lakini kwa walio wengi, mamluki haina maana uliyoisema hapa, wao kwaoni yeyote anayepinga wanachowaza wao
 
Unadhani kuanzisha chama cha siasa ni sawa na kuanzisha group la watsapp
Marehemu Mtikila aliwahi kumkimbia msajili kibaha alipokwenda kuhakiki wanachama 100 kila mkoa ili apate usaji wa kudumu
Mtikila anaulizwa wapo wapiii,mpaka sita mchana wamekuja watatu tu,mkoa mzima wa pwani dadadeki
 
Team hii ikianzisha chama au kujiunga na chama chochote kati ya CHADEMA na ACT, basi CCM itabaki na Jiwe!
1. Membe
2. Kinana
3. Makamba
4. Nape
5. Ngeleja??
6. Mwigulu
7. Mwele
8. Maria Sarungi
9.Fatma Karume
10. Wakili Jebra Kombole
11. Kagasheki
12. Profesa Mwandosya.....
13. Kigogo@2014 (though incognito!)
14. and other pertinent opponents ofJiwe politics ambao wako CCM kwa ajili ya matumbo yao, then kwishney CCM
Mkuu umetoka kulewa mataputapu nini,watu walioshindwa na hawajui nini kinaendelea ,hivi unadhani ukiwa mpinzani wa CCM basi una influence,nakwambia hao bila CCM ni kama kambale kwenye kisima,hawaendi kokote zaidi ya kuzunguka hapo hapo walipo
 
Team hii ikianzisha chama au kujiunga na chama chochote kati ya CHADEMA na ACT, basi CCM itabaki na Jiwe!
1. Membe
2. Kinana
3. Makamba
4. Nape
5. Ngeleja??
6. Mwigulu
7. Mwele
8. Maria Sarungi
9.Fatma Karume
10. Wakili Jebra Kombole
11. Kagasheki
12. Profesa Mwandosya.....
13. Kigogo@2014 (though incognito!)
14. and other pertinent opponents ofJiwe politics ambao wako CCM kwa ajili ya matumbo yao, then kwishney CCM
Waswahili tuna sema 'ukiona kenge anatoa damu masikioni ujue anakufa...' leo nimeona kenge anavuja damu masikioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
John, nimekukataza mara nyingi kuandika nonsenses! Lowasa hajawahi nunua CDM, stop this nonsense waachie wengine waseme hivyo. Hawa watu wangelikuwa wanajielewa wakaanzisha chama, mtawafuata maana wanaomunga mkono ndani ya CCM ni kiduchu usivyofikiria.
Nikikumbuka ulivyozungusha mikono kama ishara ya mabadiliko nacheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadri ccm inavyo vurugana ndivyo tunavonpata nafasi ya kuibomoa.

Awamu ya tano imeonyesha udhaifu mkubwa sana wa kuto viamini vyombo vya usalama kama tiss, polisi, jwtz etc


Hii ni dalili nzuri.

Siku inakuja vyombo hivi vitaunga mkono juhudi za wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema haiungwi mkono na wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umetoka kulewa mataputapu nini,watu walioshindwa na hawajui nini kinaendelea ,hivi unadhani ukiwa mpinzani wa CCM basi una influence,nakwambia hao bila CCM ni kama kambale kwenye kisima,hawaendi kokote zaidi ya kuzunguka hapo hapo walipo
Tumia lugha ya staha! Matusi ya mataputapu sijayapenda na sitakujibu! Next time usifanye hivyo please!
 
Kwa mtuzamo wako lakin watanzania sio wajinga kaka.hapo hakuna mzarendo wakweli kama jpm
 
hao wote watakuja kuuza nchi na kuwarudisha wezi wa nchi!!! kitakuwa chama cha ovyo sana na ndio utakuwa mwisho wao!!!!! hivi watu wamesahau kama hata Maalim Seif alikuwa CCM sasa yupo wapi na chama chake. LOWASA JE! NGUVU ZAKE NI ZAIDI YA HAO WOTE!!!!
 
Usiwadanganye hao watu hakuna hata mmoja mwenye ushawishi watapoteza pesa bure. Waacheni wajipatanishe na Mwenyezi Mungu wajiandalie vema makao mbinguni uzee huo sio wakutangatanga.
 
Retired,
Kumbe unajua kabisa kuwa CHADEMA haina uwezo wowote bila kusaidiwa na mamluki? Tuambie vizuri, watahamia CHADEMA kwa sababu wamekosana na Magufuli au kwa sababu wanaamini kwenye sera za Chadema?

Jambo moja linalonishangaza ni kuwa CHADEMA haiishi kula makombo! Je, hao uliotaja kuna mwenye nguvu na ushawishi aliokuwa nao Lowassa?

Naowanea huruma sana!
Wewe makombo unaona yanaliwa upande mmoja tu e🌝🌝🌝🌝🌝🌝
 
Back
Top Bottom