Tumeshasahau mapema hivi
Alitoka LOWASSA, SUMAYE, HAMISI MGEJA, MSINDAI, na crew nzima ya LOWASSA ikaja Chadema
Jiwe alifanya kampeni peke yake na akashinda kipindi icho dola inawatu wa mkwele, lowasa, sumaye nk,
Hivi sasa tunavyo ongea dola ipo chini ya jiwe
Vile vile nataka mfahamu vijana CCM NI system kuanzia maafisa wa jeshi, usalama, polisi, viongozi wa DINI
hao wote uliowataja hapo wakitoka ccm utawasikia wamepata shinikizo la damu
Shida ni mali walizichuma kwa chumo haramu kitendo cha kuhama kijani wanakufilisi kimya kimya,, uwe unataka au hautaki itakubidi ufunge tu bakuli lako
Mfumo unawatafuna hakuna kuhama kihorela
Wapinzani akili zenu ziondoeni kule ccm hakuna msafi kule, watakuja kuwachafua bure
Nchi hii inawasomi kibao wapo na wanajua kujenga hoja.
Kifupi wapeni nafasi msiwe kama TFF kila siku viongozi wa mpira ni hao hao mbaka wananchi wanawachoka
Chadema mkichukua tena makapi kutoka ccm mtakuwa ni Machizi fresh..
Sent using
Jamii Forums mobile app