Hawa wakiamua kuanzisha chama, CCM kwisha habari yake

Hawa wakiamua kuanzisha chama, CCM kwisha habari yake

Kumbe unajua kabisa kuwa Chadema haina uwezo wowote bila kusaidiwa na mamluki? Tuambie vizuri, watahamia Chadema kwa sababu wamekosana na Magufuli au kwa sababu wanaamini kwenye sera za Chadema? Jambo moja linalonishangaza ni kuwa Chadema haiishi kula makombo! Je, hao uliotaja kuna mwenye nguvu na ushawishi aliokuwa nao Lowassa? Naowanea huruma sana!
HIV UNAPOSEMA MAMLUKI UNA MAANA GANI? Ulitegemea vyama vya upinzani vipate wanachama ambao si raia wa Tanzania?
 
Alafu tuone watakuwa na nguvu gani wakienda uko. Suala la kuanzisha chama chao ilo futa kwa sasa labda vizazi vyao ndio waanzishe iko chama kipya
Nawe uwe unasoma between lines, ndiyo maana nikasema alternative ya kujiunga na vyama vingine ... muda wa kuunda chama unaweza usiwe unatosha kwa sasa
 
Hizi ni ndoto, hao sio watu wa kuanzisha siasa mpya hivi sasa, wanaimani na hali zao, wameamua kustaafu na kupisha nafasi vijana wachukue nafasi zao, shida zao ni waachwe wajipumzishe na kuleya wajukuu, wanacho omba ni their freedom to retire peacefully.

Kilichomponza kinana ni ukimya wake baada ya kistaafu, ndipo akatumwa Musiba kumchokoza na kumtukana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni utani banaa..
How? Utani upi? Why not possible? Ulitegemea wasuse kwenda kuhojiwa (kama kweli wamesusa)? nani alitegemea hilo? La kujitoa CCM (kama ni kweli anyway), nani alitegemea? It was unthinkable!
 
Hizi ni ndoto, hao sio watu wa kuanzisha siasa mpya hivi sasa, wanaimani na hali zao, wameamua kustaafu na kupisha nafasi vijana wachukue nafasi zao, shida zao ni waachwe wajipumzishe na kuleya wajukuu, wanacho omba ni their freedom to retire peacefully.

Kilichomponza kinana ni ukimya wake baada ya kistaafu, ndipo akatumwa Musiba kumchokoza na kumtukana.
Revelations with no concrete proof!
 
Wakati wa uchaguzi wa Raisi Magufuli ndani ya CCM, kinana na Kikwete walimtuma Ngeleja kumfata Msukuma kumshawishi amuunge mkono Magufuli, majibu aliyompa ngeleja yalikuwa makali sana, eti hatoweza kumuunga mkono Mtu kama Magufuli, leo yeye ndio anayeonekana mtu wa maana sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HIV UNAPOSEMA MAMLUKI UNA MAANA GANI? Ulitegemea vyama vya upinzani vipate wanachama ambao si raia wa Tanzania?
Mamluki ni mtu anaye kwenye kundi lakini haamini au lengo lake ni tofauti na wale wengine na mara nyingi anakuwepo kwa mision maalum.
 
Nje ya ccm hakuna mwanaccm mwenye uwezo kubattle hata na Abdul Nondo tu.

Sometimes mnaunderate sana ukubwa wa hiki chama
Team hii ikianzisha chama au kujiunga na chama chochote kati ya CDM na ACT, basi CCM itabaki na Jiwe!
1. Membe
2. Kinana
3. Makamba
4. Nape
5. Ngeleja??
6. Mwigulu
7. Mwele
8 and other pertinent opponents ofJiwe politics ambao wako CCM kwa ajili ya matombo yao, then kwishney CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa uchaguzi wa Raisi Magufuli ndani ya CCM, kinana na Kikwete walimtuma Ngeleja kumfata Msukuma kumshawishi amuunge mkono Magufuli, majibu aliyompa ngeleja yalikuwa makali sana, eti hatoweza kumuunga mkono Mtu kama Magufuli, leo yeye ndio anayeonekana mtu wa maana sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha nguvu aliyokuwa nayo Lowassa na wafuasi wake. Umenikumbusha Msukuma alivyotua na helkopta katikati ya uwanja kipindi akiwa mchumia tumbo wa Lowassa. Umenikumbusha kipindi cha Kikwete jinsi baadhi ya watu wenye fedha walivyokuwa wamejigeuza Miungu watu wa nchi.
 
Hapana Lowasa alileta wabunge over 100! Unadhani hayo siyo mafanikio? Na kura zake ziliibiwa, Lowasa would be a president today had it not been for the rigging of the votes!
Acha ujinga,bila shaka unatokea kaskazini,yaani nyie watu wakati mwingine mnatulazimisha tuipende ccm kwa sababu. Ya ukabila wenu ..,mlimuweka lowassa kiukweli mlitukosea adabu wanachama,maamuzi ya mbowe eti bado mnamuita mwamba tuvushe pumbaffffffff kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kandamatope,

Hii komenti hawataligusa kabisa. Hawa hawataki kuambiwaga ukweli na hapa umesema ukweli mtupu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom