sasa Ngeleja na Mwigulu nao wana influence gani?
Halafu ni sisiemu kindakindaki huyu!.Ngeleja sijui lakini anamwona madelu hana ushawishi mmmh!
amepanic
UmenenaUhujumu uchumi upo na mahakama itapokea, kesi zote 7.
Mambo ya sera yanakuja baadaye ukisha mpiga adui wako, . "Chase the HYENA first and then come to warn the HEN about wandering into the forest...by CHINUA ACHEBEKumbe unajua kabisa kuwa Chadema haina uwezo wowote bila kusaidiwa na mamluki? Tuambie vizuri, watahamia Chadema kwa sababu wamekosana na Magufuli au kwa sababu wanaamini kwenye sera za Chadema? Jambo moja linalonishangaza ni kuwa Chadema haiishi kula makombo! Je, hao uliotaja kuna mwenye nguvu na ushawishi aliokuwa nao Lowassa? Naowanea huruma sana!
But you should know that People talk at people not to people!Nyie mnachezewa mchezo tu, hao wapo CCM na wataendelea kuwepo. Hayo mawazo ya kuanzisha chama, yaondoeni
Na fomula hii ndiyo mlitumia kwa Lowassa mkaishia kulamba kidonda kama nzi. Watu walikuwa wanajidanganya hivi hivi unavyosema: ''tuiondoe CCM kwanza mengine baadae''! Hii ni hatari sana. Inaonyesha upinzani hauna malengo na uko tayari kukumbatia ubovu wowote ili tu uingie Ikulu!Mambo ya sera yanakuja baadaye ukisha mpiga adui wako, . "Chase the HYENA first and then come to warn the HEN about wandering into the forest...by CHINUA ACHEBE
Hapana Lowasa alileta wabunge over 100! Unadhani hayo siyo mafanikio? Na kura zake ziliibiwa, Lowasa would be a president today had it not been for the rigging of the votes!Na fomula hii ndiyo mlitumia kwa Lowassa mkaishia kulamba kidonda kama nzi. Watu walikuwa wanajidanganya hivi hivi unavyosema: ''tuiondoe CCM kwanza mengine baadae''! Hii ni hatari sana. Inaonyesha upinzani hauna malengo na uko tayari kukumbatia ubovu wowote ili tu uingie Ikulu!
Wale ni kama samaki wakiwa nje ya maji hamna kituWazee wa strategy na jihad...usiwa underestimate kabisa