Hawa wakiamua kuanzisha chama, CCM kwisha habari yake

Kwa point hii, inathibitisha kuwa bado hatuna vyamavya upinzani vyenye ajenda isipoku tunao wajasiliamali wa kisiasa basi.
 
Wanaufahamu muziki wa kuanzisha Chama jipya, hawathubutu hata kidogo.
 
Hiyo namba 6 futa kabisa haina hata ushawidhi wa kuingiza housegirl ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…