Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna jamaa alikuwa idara ya wanyamapori baadae akahamia nemc mweupe hivi jina nimesahau. Likizo zake huwa anaenda nchi jirani ya Rwanda. Yupo miaka mingi nchini. Nendeni pale nemc muulizie mtu aliyehamia kutoka idara ya wanyamapori mtanishukuru baadae
 
Haiwezekani ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
 
Hivi Bashungwa si aliwahi kuwa waziri wa ulinzi ? Na alitembekea kambi zote ? Na anajua maeneo nyeti na muhimu et ? Duuuh ngoja nikakijoe nilale
 
Tulipopata uhuru 1961 ,Mwl Nyerere alifanya jambo la hekma kwamba kila aliyekuwemo ardhi ya Tanganyika usiku huo ni Mtanganyika halali.
Na wakati huo vita na misukosuko na utafutaji wa majiran vilishaleta wahamiaji waliounga tela.
Umakin unatakiwa katika kum define Mtanzania leo. Sio mambo ya pua au rang.
Wahima 2 inawezekana sana mmoja ni mtanzania na mwingine mnyarwanda!
Taadhari ni kwamba kuna Taifa lina hormones nyingi za kujiimarisha kimikakati.
Hivyo nchi zote ilipo jamii hiyo zinajikuta hatarin.
*Ikumbukwe kuna nchi (country)na Taifa(State).
Nchi ni man made*
 
Maeneo ambayo ni target ni zanzibar ( raia wa oman), kigoma , ngara (rwanda na burundi), wahindi, etc
 
Labda wanatafuta mkondo wa kumfikia yule mbunge aliyesema kuna vigogo wana nyumba za B 25 Dubai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…