Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Taifa=Nation

State=dola

Country=nchi

Serikali=government
 
Sasa Mimi mwenyewe naanza kuwa na mshaka nawauliza mababu kwetu wapi tulitokea wapi??!;😁😁
 
Hivi ni kwanini hamuwataji majina?

Wameawapa nini hao Wanyarwanda?
 
ukweli mchungu ukisifia ukiabudu ccm sio tu unagaiwa uraia unapewa na kitengo, yaani ilikua swala la muda tu, nyerere alikataza ubaguzi ccm wanatunga sheria za kuwabagua watanzania kwa vyama vyao, leo ni rahisi mnyarwanda kupita bila kupingwa akiwa ccm, lakini mtanzania mwenzako amekosea kujaza jina lake unamtoa facken kabisa hii sio ajali ni wabaguzi watu wale.
 
Musukuma ni mtusi...hakuna jina la ukoo la musukuma kwenye koo za kisukuma
Musukuma Hana Baba , ila ana Mama kiufupi Baba yake hajulikani ila za ndaani kabisa , Mama yake alitoka Geita kwenda Mwanza kusaka maisha , usiku ule pale Geita akakosa sehemu ya kulala akatembea na Watchman flani katika guest flani kwa ajili ya kupata hifadhi na nauli kidogo na pale alishika ujauzito na ndipo akapatikana yeye japo Msukuma hamjui Baba yake Toka mdogo maana alipatikana Mama akiwa safarini

Hizi ni story za ndani kabisa
 
Umenena vyema.
Kuna watu ambao ni tishio kwa watch 100 kwenye chaguzi hizi zinazoanza wanataka kuminywa.
Km ni kweli hao wakimbizi wapo tunavyombo sahihi vya kushugulikia hilo na sio kubwabwaja.
CDF ana nafasi ya kuonana au kuongea na Rais muda wowote kulikuwa hakuna haja ya kuongea kwa sauti kubwa ambayo badala ya kuleta ahueni imetuongezea hofu juu ya usalama wetu.
 

Kutokuwa na hofu kwa kutoambiwa kuna tatizo hakupunguzi ukubwa wa tatizo. CDF amefanya vizuri sana kulifanya Taifa zima kujua ukubwa wa tatizo. Hii itasaidia watu kutokuwa na maswali mengi Rais atakapochukua dhidi ya wahamiaji haramu ambao wamepewa madaraka, au pia kuuona wazi uzembe wa Rais kama hatachukua hatua.

Fikiria nchi inafikia kuwa na naibu waziri mkuu ambaye ni mhamiaji haramu ambaye hajawahi kuukana uraia wa wazazi wake. Alipokuwa waziri wa madini alifanya jitihada kubwa kuwapokonya leseni Watanzania kwa njia chafu na kuwapa wanyarwanda wenzake. Sasa ni naibu waziri mkuu na waziri wa nishati, je, tunafahamu atafanya nini?
 
Huwa wanatengeneza story hizo kuepuka mkono wa sheria.
 
Jeshi halijaingilia siasa. Wahamiaji haramu ni suala la kiulinzi na usalama.

Ukiwa na wahamiaji haramu ambao umewaweka mpaka maeneo nyeti, siku kukitokea kutoelewana na mataifa mengine, wanaweza kutumika dhidi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…