Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha ujinga bro, Mandela na, wapigania Uhuru wa Afrika kusini,waliishi bongo, hapa hapa, na wakatumia passport zetu, wamezaa, hapa, Rais kabila, kasoma UD, ameanza jeshi akiwa jwtz, hata Museveni, muda ulipofika, wakarudi kwao! Sio, ajabu, hizi conspiracy kuwa "Kagame kqpqndikiza watu ndani ya Nchi" Ni, upuuzi, mtupu, hata kama ni kweli, ndio kazi, ya taasisi za kiintelijensia, kamsome, jasusi, Robert Hansen, Kim Philby, hawa walikuwa ma jasusi wa Russia ndani ya USA! Ndio dunia, inavtokiwa, kama kwenye taasisi zenu za u jasusi mmejaza makende ya uvccm,yaliyopata D form four, mnategemea nini!? Lazima mtadukuliwa mpaka makalioni,
TISS yetu ni kama polisi,tunanyanganyana mademu kitaa, wanavimba kwenye baa, vingora vingi balabslani, hawana wanachojua, wenzenu, wana ma jasusi waliobobea, Kama hatuna ma jasusi ndsni ya, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, south afrika, basi, sie ni ngozi, ya tako aisee,
Idara ya u jasusi, inafanyaje kazi bila kupadikiza ma jasusi kila Kona?
Rwanda, ilinunua, software, Kutoka Israel ya kudukua simu za Marais! Ndio, inavyotakiwa, inabidi ujue, jirani zako wanaishi vipi, wanapanga nini,
Kipindi nasoma udasm, miaka ya 80,mwaka wa kwanza mkifika tu, wanakiwepo "agents" Wana pozi, kama, wanafunzi, mnaanza pamoja, wanacheki kama kuna raia wa kigeni, majsusi pamdikizi(illegals), wakiridhika, baada ya muda wanasepa, hutawaona tena!
Illegals hii mbinu ameitumia Sana mrusi ndani ya USA, unapeleka vijana wako Nchi nyingine, wanaijiingiza kwenye mfumo, shuleni, kwenye jamii, wanatsfuta vitambulisho, wanaoa, wanapata watoto,watapata kazi!
Hapo ujue umekwisha
 
Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za Tiba kwa Hospital zote hapa nchini luteni kanali Dokta Pius Horumpende Wakati wa Mkutano ulio Wakutanisha wadau mbalimbali wanajishugulisha na wauzaji na utengenezaji wa Vifaa Tiba saidizi wa watu wenye Ulemavu wa Viungo.

Lieutenant Colonel (Dr) PIUS GERALD HORUMPENDE.

Qualifications: (MD) (UDSM - Tanzania), PGD - Med (Bergen - Norway), MSc Med - (Wits – South Africa) Certificate in Bioinformatics & Mol.Bio (Stellenbosch – South Africa), PhD (Infectious Diseases) (TUMA-KCMUCo Moshi -Tanzania).
 

Jipe kaz yakufanya iyo waachie wenye ajira yao wafanye kazi yao ww pambana na mizigo yako na familia yako

Sasa unataka kuingilia kaz za
Jwtz
Uhamiaji
Usalama taifa
Tis
Polisi Tz

Sasa km ww unataka kufanya kaz ya vyombo vya usalama vyenyewe vitafanya kaz gan na kwa akili yako ndogo unazani hawawajui watu hao
Kwa akili yako ndogo unazan jwtz na vyombo vingne vya usalama vimetoa taalifa bila kuwa na majina ya wakimbizi wenyewe
 
Hilo jina ni la asili ya kitusi
 
Watusi ni uzao wa Nilotes people, kwa hiyo wanajiona wao ni bora zaidi kuliko Bantu people. Kujiona kwao bora kunawafanya wawe na upendeleo na ubaguzi dhidi ya wabantu.
Hiyo ndiyo root ya kuchukiwa watusi.
Mimi nataka kila Mwafrika ajione Bora kwa tabia hiyo ndio maana Mtusi haku hukuliwa Utumwa.

Tuige tabia zao na sio kuwachukia bila sababu.
 
Inafikirisha sana
 
Mimi binafsi Imhotep nawapenda sana Watutsi kwa uvumilivu wao kwa ujasiri wao na uchapakazi wao wengi ni wasomi.

Wao ndio wametufundisha kuchapa kazi 24hrs waliifungua ile Rusumo.

Tunawategemea sana itakapozaliwa Serikali ya UNITED AFRIKA.
 

Sa100hawezi kuwa wa oman, labda useme makunduchi huko karibu na mombasa
 

Anatenguliwa tu , simple like that

Tunaposema Rais apunguziwe power hamuelewi
 
acheni ushamba!!!
mbona ENGLAND[UINGEREZA] inatawaliwa na MDOSI !!! tena aliishi uapanga,,,mimi nilishawai kunywa nae kahawa!!!!!,,,mbona USA ilitawaliwa na MKENYA OBAMA????,,,,mbona waziri wa zamani wa ulinzi wa USA ALIKUWA MWEUSI?[GENERAL POWEL}...na black woman CONDOLEZA RISE alikuwa waziri wa nini sijui pale kwenye nchi iliyojaa MAPUNGA???,ok tuje kwe2 sisi tunaojiita wazawa!!!,,,wamakonde asilimia kubwa wametoka msumbiji,wahaya uganda,wasukuma cameroon,wajaluo kenya,wamasai kaskazini mwa afriaka,wachagga ethiopia,wapemba wamechanganya na waarabu{mama mwenyewe ana wajomba zake saudi arabia], wangoni afrika kusini,,,yaani wenyeji original wa nchi hii ni WAGOGO peke yake!!!! agweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…