M16_kwaoz
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 231
- 456
Mkuuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji119]Tuelekeapo 2025 zongo linaanza kwa Ngopam, Nanaki, Sheba, Rushiba, Tozi, Ngashuba n.k.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji119]Tuelekeapo 2025 zongo linaanza kwa Ngopam, Nanaki, Sheba, Rushiba, Tozi, Ngashuba n.k.
Acha ujinga bro, Mandela na, wapigania Uhuru wa Afrika kusini,waliishi bongo, hapa hapa, na wakatumia passport zetu, wamezaa, hapa, Rais kabila, kasoma UD, ameanza jeshi akiwa jwtz, hata Museveni, muda ulipofika, wakarudi kwao! Sio, ajabu, hizi conspiracy kuwa "Kagame kqpqndikiza watu ndani ya Nchi" Ni, upuuzi, mtupu, hata kama ni kweli, ndio kazi, ya taasisi za kiintelijensia, kamsome, jasusi, Robert Hansen, Kim Philby, hawa walikuwa ma jasusi wa Russia ndani ya USA! Ndio dunia, inavtokiwa, kama kwenye taasisi zenu za u jasusi mmejaza makende ya uvccm,yaliyopata D form four, mnategemea nini!? Lazima mtadukuliwa mpaka makalioni,Asalaam aleykum wana Jf.
Leo Mkuu wa Majeshi, General Mkunda amegusia kuwa kuna baadhi ya wakimbizi wameshikilia nafasi nyeti serikalini kulingana na taarifa za kiintelijensia.
Sasa lengo la uzi huu ni kuwarahisishia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ili kuwabaini wakimbizi wote ambao wameteuliwa kwenye nafasi za maamuzi.
Hii itasaidia kudumisha ulinzi na usalama wa Taifa letu kwani ni hatari sana kukabidhi nafasi nyeti kwa wageni/wakimbizi kwa sababu kuna wale ambao hata kama wameishi miaka 1000 sehemu nyingine, huendelea kuwa wazalendo kwa Taifa lao la asili. Mfano hai ni Mh. PK, Rais wa nchi mojawapo jirani, ambaye ni kama tu alizaliwa na kukulia Uganda, lakini bado kilichotokea wote tunakifahamu.
Kwa wasiofahamu tu ni kwamba huyu Mh. PK alishikilia nafasi nyeti sana katika nchi ya Uganda ikiwemo Mkuu wa kitengo cha Intelijensia Jeshini, lakini bado tu roho yake na akili yake ilikuwa katika nchi yake ya asili!
Chonde chonde kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, siyo kwamba hawa watu hawajulikani, wanafahamika vyema ila kwa sababu ya rushwa na mambo mengine, basi kunakuwa na ile hali ya kufumbia macho.
Naomba kuwasilisha.
View attachment 2879699
Hii nchi mpaka yatokee mapinduzi ndio ikae sawa
Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za Tiba kwa Hospital zote hapa nchini luteni kanali Dokta Pius Horumpende Wakati wa Mkutano ulio Wakutanisha wadau mbalimbali wanajishugulisha na wauzaji na utengenezaji wa Vifaa Tiba saidizi wa watu wenye Ulemavu wa Viungo.Huyu jamaa siyo kabisa! Jenerali atuambie huyu aliingiaje JWTZ wakati alipomaliza Form VI hakuruhusiwa kwenda JKT, halafu alisomeshwa na nani MUHAS!
WIZARA AFYA YAJA NA MPANGO MKAKATI WAKUSADIA WATU WENYE UHITAJI WA VIFAA TIBA SAIDIZI.
View attachment 2880106
View attachment 2880109
- Oct 2016 - Dec 2020
Doctorate
Tumaini University Makumira (KCMC) Tanzania/University of Nijmegen, The Netherlands- Jan 2010 - Dec 2010
Diploma
University of Stellenbosch, Cape Town, South Africa- Jan 2007 - Dec 2009
Masters
University of The Witwatersrand, Johannesburg, South Africa- Jul 2005 - Jul 2006
Diploma
University of Bergen, Norway- Sep 1993 - Dec 1999
Bachelors
University of Dar es Salaam, Tanzania
Honors & Awards
- May 1993
Best Form 6 National Examinations performer for the School
St. Kizito Seminary, Mafinga, Iringa.
In high school studying Physics, Chemistry, Biology, Elimu ya Siasa and Basic Applied Mathematics I was the best student in the 1992 Class. I was awarded the Advanced Level Best Student for Sciences of the Mafinga Seminary by the Archbishop Tarcicius Ngalalekumtwa
- Nov 1987
Prize-Best Form II National Exams-Western Zone
Certificate of Best National Form II Performing student
In Tanzania, there are Form 2 National Examinations done countrywide but assessed Zonally. I was the Best National Form II Examinations performing student in the Western Zone of Tanzania (Regions of Kigoma, Tabora and Shinyanga). I was a student of St. Joseph's Seminary, Ujiji, Kigoma by then.
Asalaam aleykum wana Jf.
Leo Mkuu wa Majeshi, General Mkunda amegusia kuwa kuna baadhi ya wakimbizi wameshikilia nafasi nyeti serikalini kulingana na taarifa za kiintelijensia.
Sasa lengo la uzi huu ni kuwarahisishia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ili kuwabaini wakimbizi wote ambao wameteuliwa kwenye nafasi za maamuzi.
Hii itasaidia kudumisha ulinzi na usalama wa Taifa letu kwani ni hatari sana kukabidhi nafasi nyeti kwa wageni/wakimbizi kwa sababu kuna wale ambao hata kama wameishi miaka 1000 sehemu nyingine, huendelea kuwa wazalendo kwa Taifa lao la asili. Mfano hai ni Mh. PK, Rais wa nchi mojawapo jirani, ambaye ni kama tu alizaliwa na kukulia Uganda, lakini bado kilichotokea wote tunakifahamu.
Kwa wasiofahamu tu ni kwamba huyu Mh. PK alishikilia nafasi nyeti sana katika nchi ya Uganda ikiwemo Mkuu wa kitengo cha Intelijensia Jeshini, lakini bado tu roho yake na akili yake ilikuwa katika nchi yake ya asili!
Chonde chonde kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, siyo kwamba hawa watu hawajulikani, wanafahamika vyema ila kwa sababu ya rushwa na mambo mengine, basi kunakuwa na ile hali ya kufumbia macho.
Naomba kuwasilisha.
View attachment 2879699
Acha Ukenge Manyoya.Jifunze zaidi kuhusu CDF
Hilo jina ni la asili ya kitusiMkurugenzi Msaidizi wa huduma za Tiba kwa Hospital zote hapa nchini luteni kanali Dokta Pius Horumpende Wakati wa Mkutano ulio Wakutanisha wadau mbalimbali wanajishugulisha na wauzaji na utengenezaji wa Vifaa Tiba saidizi wa watu wenye Ulemavu wa Viungo.
Lieutenant Colonel (Dr) PIUS GERALD HORUMPENDE.
Qualifications: (MD) (UDSM - Tanzania), PGD - Med (Bergen - Norway), MSc Med - (Wits – South Africa) Certificate in Bioinformatics & Mol.Bio (Stellenbosch – South Africa), PhD (Infectious Diseases) (TUMA-KCMUCo Moshi -Tanzania).
Kwa kipindi kidgo Cha mwezi mmoja wa kuongoza tiss amewezaje kuwajaza faster faster ?Mtu wa kwanza kubana mbavu ni Bashiru atweleze aliwaingiza watusi wangapi TISS
Mimi nataka kila Mwafrika ajione Bora kwa tabia hiyo ndio maana Mtusi haku hukuliwa Utumwa.Watusi ni uzao wa Nilotes people, kwa hiyo wanajiona wao ni bora zaidi kuliko Bantu people. Kujiona kwao bora kunawafanya wawe na upendeleo na ubaguzi dhidi ya wabantu.
Hiyo ndiyo root ya kuchukiwa watusi.
Inafikirisha sanaWatanzania tupo warahisi sana kuchezewa akili zenu. Lakini acha tu tuchezewe kwani huwa hatutaki kutafakari. Hivi jambo kama ni hili ni la utekelezaji au ni la kusemea kwenye majukwaa! Tuna idara za usalama, upelelezi na ulinzi.
Kama wamegundua kuna watu wa aina hii kwa nini wasiondolewa kwanza? Rais kila siku ni lazima apewe briefing kuhusu masuala mbali mbali ya nchi, ina maana hawakumwambia huko kwenye vikao?
Kwangu mimi hili ni suala la utekelezaji zaidi na siyo suala la kusemea jukwaani. Otherwise, kuna jambo fishy linataka kufanywa na huu ni mwanzo tu wa kulihalalisha.
Kila siku nakwambia njoo uchukue zawadi yako ila hautakiMimi siyo Mtanzania, mimi Mtanganyika. Kumbuka hilo.
Hiyo sio "hela ya Serikali"hio ni pesa yetu inayochezewa vibaya na hao wezi.
Tuache utani---
System za serikali zinawajua
Tunajua Saa100 umeanza kumsagia kunguni VP wako Dr Mpango kuwa ni Mrundi. Mpango tunajua hamuivi.
Sasa wewe mguse Mpango kama hatujakufurusha kurudi Oman.
Watz wako wengi sana wenye vinasaba vya ukimbizi
Doto Biteko - Mnyaruanda
Majaliwa - Mmakonde wa Msumbiji
Saa100- Mwarabu wa Oman
General Mkunda fanya hii kazi mwenyewe na intelijensia ya JWTZ uwafurushe hawa wasio na chembe ya huruma na raslimali zetu!

Hapana mzee simkumbuki kwanza hata hio pamba nimeisikia ama naisikia tuKuna mchezaji wa timu ya pamba anaitwa Halid Bitebo unamkumbuka
Makunduchi ipo karibu na Bagamoyo. Wete ndiyo iko karibu na Mombasa.Sa100hawezi kuwa wa oman, labda useme makunduchi huko karibu na mombasa
mbona ENGLAND[UINGEREZA] inatawaliwa na MDOSI !!! tena aliishi uapanga,,,mimi nilishawai kunywa nae kahawa!!!!!,,,mbona USA ilitawaliwa na MKENYA OBAMA????,,,,mbona waziri wa zamani wa ulinzi wa USA ALIKUWA MWEUSI?[GENERAL POWEL}...na black woman CONDOLEZA RISE alikuwa waziri wa nini sijui pale kwenye nchi iliyojaa MAPUNGA???,ok tuje kwe2 sisi tunaojiita wazawa!!!,,,wamakonde asilimia kubwa wametoka msumbiji,wahaya uganda,wasukuma cameroon,wajaluo kenya,wamasai kaskazini mwa afriaka,wachagga ethiopia,wapemba wamechanganya na waarabu{mama mwenyewe ana wajomba zake saudi arabia], wangoni afrika kusini,,,yaani wenyeji original wa nchi hii ni WAGOGO peke yake!!!! agweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda amemueleza Rais kuwa Kuna wakimbizi wapo Hadi Serikalini na wamepewa nafsi za juu kabisa za kimaamuzi
Hili inashangza na kufikirisha Sana inakuwaje Hadi mkuu wa majeshi anawajua wakimbizi na wameteuliwa na wala hajawasiliana na mamlaka za uteuzi kuzuia uteuzi wao yeye amekaa kimya Hadi leo ndio Kuja kumueleza Rais by suprise.
Mimi najiuliza hivi Rais leo atapata usingizi Kweli? Atakuwa anajiuliza ni Nani huyu nimemteua ambae Ni mkimbizi?
Lazima Rais atapitia mafail yake kwa upya mnk kwa taarifa ya leo wa kamanda wake CDF kusema wasiwasi kuwa unawateua hadi wakimbizi inamaana kwamba wasaidizi wake wanamuingiza Chaka.
Anyway Kama Kuna kiongozi au afsa tunamuhisi siyo mtanzania mwenzetu Basi tumtaje hapa hajui kuwa siyo mwenzetu.
- Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba
Pitieni huu uzi