Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msiwe mnapiga kelele bila weledi. Kwa akili yako unadhani Suk aliingia UK kwa njia za panya, halafu akagombea nafasi ya uongozi?

Tatizo siyo asili ya mtu bali ni je, kwa sheria zetu, huyo mtu ni mtanzania?
 
Loh! Kumbe Faiza kichwani una mpungufu ya kiasi hicho?

Tafuta articles of union, uzisome. Kama hutaelewa, mtafute mwenye uelewa akufafanulie.

Kwa ufupi, articles of union, kuhusu uraia zinasema kuwa mtanzania ni raia yeyote ambaye kabla ya muungano alikuwa raia wa Tanganyika au Zanzibar.

Katiba iliyokuja kukoroga ni ile ya Zanzibar ya mwaka 1984.
 

Tena kabla ya hao wazungu, waafrika tulikuwa vipande vidogo vidogo zaidi. Mngoni nchi yake iliishia pale Songea tu. Mhehe nchi yake ilianzia Njombe na kuishia Dodoma.
 
Usimsahau Nyerere na Mkapa, walishaandikwa sana zamani kuwa ni wageni ardhi hii.

Ukimaliza hapo, tuambie kwenu wapi?
Mkapa mmawia wa Ntwara, vizazi vyake vyote vilivyopo kwenye records.

Nyerere mtanganyika hasa. Na Baba yake alikuwa chief wa wazanaki. Kusema Nyerere hakuwa mtanganyika maana yake unataka kusema chief wa eneo moja aliweza kuondoka kwao na kwenda kutawala kingdom nyingine, jambo ambalo haliwezekani.
 
Kwani wewe ni mdogo wake na Bi tozo?
Mrudi kwenu Oman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…