Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi naamini vigezovimezingatiwa na masharti yamefatwa.

Ikiwa tutaanza kukokoa vizazi vya watu vya tatu na na nyuma vya Watanzania basi tutajikuta nusu nzima au zaidi siyo wenye asili ya Tanzania.


Mradi sheria na kanuni za uhamiaji zimefatwa na vetting za kiusalama wamepita hao ni raia tu.

Leo Rishi Sunak ni waziri mkuu w Uingereza, wakifatilia kizazi chake cha tatu nyuma, tutamkuta ana Utanzania.
Msiwe mnapiga kelele bila weledi. Kwa akili yako unadhani Suk aliingia UK kwa njia za panya, halafu akagombea nafasi ya uongozi?

Tatizo siyo asili ya mtu bali ni je, kwa sheria zetu, huyo mtu ni mtanzania?
 
Itabidisheria m[pya zitungwe? Maana kwa sheria za sasa za Tanzania itabidi nusu au zaidi ya Watanzania waondoke.


Mimi Mtanganyiika, nirudisheni Tanganyika. Sijawahi kuuomba Utanzania wala kuukana Utanganyika wangu na sijawahi kuupinga utawala wa Muingereza. Nirudisheni kwetu Uingereza. Nimezaliwa wakati wa Utawala wa Muingereza.
Loh! Kumbe Faiza kichwani una mpungufu ya kiasi hicho?

Tafuta articles of union, uzisome. Kama hutaelewa, mtafute mwenye uelewa akufafanulie.

Kwa ufupi, articles of union, kuhusu uraia zinasema kuwa mtanzania ni raia yeyote ambaye kabla ya muungano alikuwa raia wa Tanganyika au Zanzibar.

Katiba iliyokuja kukoroga ni ile ya Zanzibar ya mwaka 1984.
 
Hizo nchi ulizotaja utawazuwia vipi wasiingie Tanzania?

Au wapo kwa vizazi vingapi hivi sasa?

Kweli mzungu ni mashetani, aliyekuja kuweka hii mipaka ya kijinga kabisa. Kakaa berlin huko juu ya meza akajichorea tu. Tutabaguwana mpaka tuuwane, mipango ya Berlin ya kututawala.

Tena kabla ya hao wazungu, waafrika tulikuwa vipande vidogo vidogo zaidi. Mngoni nchi yake iliishia pale Songea tu. Mhehe nchi yake ilianzia Njombe na kuishia Dodoma.
 
Usimsahau Nyerere na Mkapa, walishaandikwa sana zamani kuwa ni wageni ardhi hii.

Ukimaliza hapo, tuambie kwenu wapi?
Mkapa mmawia wa Ntwara, vizazi vyake vyote vilivyopo kwenye records.

Nyerere mtanganyika hasa. Na Baba yake alikuwa chief wa wazanaki. Kusema Nyerere hakuwa mtanganyika maana yake unataka kusema chief wa eneo moja aliweza kuondoka kwao na kwenda kutawala kingdom nyingine, jambo ambalo haliwezekani.
 
Hizo nchi ulizotaja utawazuwia vipi wasiingie Tanzania?

Au wapo kwa vizazi vingapi hivi sasa?

Kweli mzungu ni mashetani, aliyekuja kuweka hii mipaka ya kijinga kabisa. Kakaa berlin huko juu ya meza akajichorea tu. Tutabaguwana mpaka tuuwane, mipango ya Berlin ya kututawala.
Kwani wewe ni mdogo wake na Bi tozo?
Mrudi kwenu Oman
 
Back
Top Bottom