Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,158
- 1,746
Wahamiaji haramu na raia wa kigeni waliojipenyeza nchini kichaka chao ni ccm. Huwezi kukuta mtu mwenye uraia wa mashaka mashaka na mhamiaji haramu yuko CHADEMA kwa sababu wanaogopa kushughulikiwa.