Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)


Mkipata Muda pitieni huu waraka wa mtikila alionya Sana kuhusu watusi 35000 walizambaa kote nchini
 
Mkuu wa majeshi kaweka uzalendo mbele anajua rais amezungukwa na machawa ndio maana hawaoni tatizo kuuza nchi.
Watanzania tupo warahisi sana kuchezewa akili zenu. Lakini acha tu tuchezewe kwani huwa hatutaki kutafakari. Hivi jambo kama ni hili ni la utekelezaji au ni la kusemea kwenye majukwaa! Tuna idara za usalama, upelelezi na ulinzi.

Kama wamegundua kuna watu wa aina hii kwa nini wasiondolewa kwanza? Rais kila siku ni lazima apewe briefing kuhusu masuala mbali mbali ya nchi, ina maana hawakumwambia huko kwenye vikao?

Kwangu mimi hili ni suala la utekelezaji zaidi na siyo suala la kusemea jukwaani. Otherwise, kuna jambo fishy linataka kufanywa na huu ni mwanzo tu wa kulihalalisha.
 
Nasikia ni issue iliyomtoa mwamba
 
Hapa itakuwa Kuna wasomali na warundi, ni wakati Sasa wa rais kuwatumbua, hata kama ni mikia
 
Ninyamaze mie
 
Ngoja tusubiri
 
[emoji28][emoji28][emoji28],mpaka wanateuliwa mlikua wapi?
Jeshi linakuwa halihusishwi kwenye michakato, na hata wakiwepo huwa ni washiriki tu, Ila wana utaratibu wao wa kufuatilia.

Hiyo taarifa ni matokeo ya kazi wanazofanya, na hapo CDF kapewa go ahead aisome hadharani kutoa alert call kwa kwa watu fulani kuwa wajiandae. Maana wameshabebwa lakini hawabebeki wanajiona wana maguvu mengi sana

Tume ya uchaguzi, Wakurugenzi na TISS wapo tayari kukata jina la mgombea kwa kisingizio cha herufi kukosewa lakini kamwe si kwa kuangalia jambo kubwa kama la Uraia.
 
Sukuma gang wengi ni wahamiaji haramu
 
Wapo ambao wameoa na kuolewa na wamejipenyeza mpaka ndani kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…