Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ameona wamekithiri kuteuana akaamua amwage ugali tuhadi kasema hivyo kuna kitu tayari,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameona wamekithiri kuteuana akaamua amwage ugali tuhadi kasema hivyo kuna kitu tayari,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Ndio maana alituharibia Mfumo wa Elimu.Ako Mungai wakati furani ako na uwaziri wa mambo ya elimu hakuwa mbongo alikuwa raia wa nchi jirani
Umasikini huzalisha wala rushwa.TZ lishakuwa shamba la bibi, kila mtu anajikatia pande.
Sasa sijui hiyo vetting wanaifanyia wapi?
Halafu, kambi ya wakimbizi si inakuwa na wawakilishi wa wizara ya mambo ya ndani ambaye ndiye mkuu wa kambi na wasaidizi wake, inakuwaje wanashindwa kudhibitiwa?
Asubuhi na mapema yaani Day Break kwa kifupi.Akitajwa unitag mkuu nije nimuone walau jinale!
Phillip Mpango ana miaka 66 mtu aliezaliwa 1972 mwaka huu anatimiza miaka 52.kwann msaidizi wa bimkubwa alipoteuliwa chama tawara burundi kilimpongeza sana? na inasemekana anaongea kirundi na kinyarwanda nimemaliza mm
Duuu!!Tulitoa taarifa uhamiaji tena kwa viongozi wakubwa wenye dhamana ya uwwpo wa wahamiaji haramu na mahali walipo, wakatoa gari tukawapeleka kwenye hizo nyumba hakuna hatua yeyote walio chukua, tunahofia usalama wetu maana wale wahamiaji wameshatujua, mwingine alipigwa PI kipindi mwigulu akiwa waziri na Sasa yupo nchini tumetoa taarifa uhamiaji wakatucheka.
Kuna mengi yaaaani ........
Yule jamaa alikuwa bogus sana, alikuwa hajuwi anafanya nini Wizarani mwakeAko Mungai wakati furani ako na uwaziri wa mambo ya elimu hakuwa mbongo alikuwa raia wa nchi jirani
Watusi ni uzao wa Nilotes people, kwa hiyo wanajiona wao ni bora zaidi kuliko Bantu people. Kujiona kwao bora kunawafanya wawe na upendeleo na ubaguzi dhidi ya wabantu.Mimi nimejaribu sana kufuatilia sababu za chuki dhidi ya Watutsi wanachosema ni kuwa ati "wanaringa" 🤣😂
Waarabu wasomali hawasemwi. Ngozi nyeusi ni upumbavu mtupu. Barack obama asingepewa uraisi. Bashe? Kizimkazi?Tuanza na Upendo Peneza ni Mnyarwanda,pale Geita kuna wanyarwanda wengi sana,serekali kama wako serious waanze na ule mkoa,unafanya kazi na mdada pale GGM ghafla unashangaa unachangishwa mchango wa Harusi anaolewa Kigali kisha unaambiwa ni Mnyarwanda....waanze na Upendo Peneza na kaka yake Baraka
Shida ni hidden agenda walionayo,hakuna mtu mwenye shida nao kama nia yao sio kuleta fujo za kujitenga,wamalawi wako wengi lakini kwa nini mkuu wa majeshi kaongela mikoa ya magharibi au wajaluo wako wengi sana msoma achana na wajaluo wa Tanzania wajaluo wa kenya ila hakuna mwenye shida naoWaarabu wasomali hawasemwi. Ngozi nyeusi ni upumbavu mtupu. Barack obama asingepewa uraisi. Bashe? Kizimkazi?
Naomba ufafanuzi. Nani anataka kujitenga? Kwanini hajashughulkkiwa mpaka saasa?Shida ni hidden agenda walionayo,hakuna mtu mwenye shida nao kama nia yao sio kuleta fujo za kujitenga,wamalawi wako wengi lakini kwa nini mkuu wa majeshi kaongela mikoa ya magharibi au wajaluo wako wengi sana msoma achana na wajaluo wa Tanzania wajaluo wa kenya ila hakuna mwenye shida nao
Ndugu wa oman unasemajeNaambiwa kuna mtu kapewa cheo kisichokuwepo kikatiba ndugu zake,wajomba,wabibi na mashangazi wameamua kuondoka Rwanda rasmi.