Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
TZ lishakuwa shamba la bibi, kila mtu anajikatia pande.

Sasa sijui hiyo vetting wanaifanyia wapi?
Halafu, kambi ya wakimbizi si inakuwa na wawakilishi wa wizara ya mambo ya ndani ambaye ndiye mkuu wa kambi na wasaidizi wake, inakuwaje wanashindwa kudhibitiwa?
Umasikini huzalisha wala rushwa.

Utajaza maofisa Uhamiaji kwenye kambi za wakimbizi ili kudhibiti wahamiaji haramu lakini wao ndiyo huwa mstari wa mbele kuuza haki za uraia kwa wakimbizi.

Mkuu upo?
 
kwann msaidizi wa bimkubwa alipoteuliwa chama tawara burundi kilimpongeza sana? na inasemekana anaongea kirundi na kinyarwanda nimemaliza mm
Phillip Mpango ana miaka 66 mtu aliezaliwa 1972 mwaka huu anatimiza miaka 52.

Wamefungua ‘Pandora box’ ya kueneza chuki na kuwapa watu label mbaya.
 
Tulitoa taarifa uhamiaji tena kwa viongozi wakubwa wenye dhamana ya uwwpo wa wahamiaji haramu na mahali walipo, wakatoa gari tukawapeleka kwenye hizo nyumba hakuna hatua yeyote walio chukua, tunahofia usalama wetu maana wale wahamiaji wameshatujua, mwingine alipigwa PI kipindi mwigulu akiwa waziri na Sasa yupo nchini tumetoa taarifa uhamiaji wakatucheka.

Kuna mengi yaaaani ........
Duuu!!
Pole sana
 
Mimi nimejaribu sana kufuatilia sababu za chuki dhidi ya Watutsi wanachosema ni kuwa ati "wanaringa" 🤣😂
Watusi ni uzao wa Nilotes people, kwa hiyo wanajiona wao ni bora zaidi kuliko Bantu people. Kujiona kwao bora kunawafanya wawe na upendeleo na ubaguzi dhidi ya wabantu.
Hiyo ndiyo root ya kuchukiwa watusi.
 
dir kuna shida kwenye teuzi
Mns wanaoteuliwa hawachunguzwi kwanza kama zaman ama ♥️ ❤️ 💖 💕 😍 👌 ♥️ ❤️ 💖 💕 😍 nikopalekwawakalaaanakuja
 
Tuanza na Upendo Peneza ni Mnyarwanda,pale Geita kuna wanyarwanda wengi sana,serekali kama wako serious waanze na ule mkoa,unafanya kazi na mdada pale GGM ghafla unashangaa unachangishwa mchango wa Harusi anaolewa Kigali kisha unaambiwa ni Mnyarwanda....waanze na Upendo Peneza na kaka yake Baraka
Waarabu wasomali hawasemwi. Ngozi nyeusi ni upumbavu mtupu. Barack obama asingepewa uraisi. Bashe? Kizimkazi?
 
Waarabu wasomali hawasemwi. Ngozi nyeusi ni upumbavu mtupu. Barack obama asingepewa uraisi. Bashe? Kizimkazi?
Shida ni hidden agenda walionayo,hakuna mtu mwenye shida nao kama nia yao sio kuleta fujo za kujitenga,wamalawi wako wengi lakini kwa nini mkuu wa majeshi kaongela mikoa ya magharibi au wajaluo wako wengi sana msoma achana na wajaluo wa Tanzania wajaluo wa kenya ila hakuna mwenye shida nao
 
Naomba ufafanuzi. Nani anataka kujitenga? Kwanini hajashughulkkiwa mpaka saasa?
 
Hii habari mitaani inasikika sana ni kama vile wamechelewa kuitangaza hivi.
" tatizo ni pale unapojua kitu tayari unakuwa umeshachelewa"
 
Back
Top Bottom