Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona kihistoria makabila mengi ni wahamiaji ...kwanza hata hii jamii zenye watu waupe wote sio watanzania na waafrica halisi kwa ujumla.

Tukianza kung'amua hapa wote tutajikuta watu sio watanzania halisi...Jaribu kupitia kila kabila na asili yao utaona..

Marekani kama wangebagua wasingekuwa pale ile nchi wazawa ndio wanaishika ,wanakumbatia watu weusi kwa sababu ya vipaji vyao ,wanakumbatia waisrael kwa sababu ya mambo ya maendeleo ....


Ile kauli kwa hakiki inafanana na Hamisi sasa akiambia ataje itakuwaj?

Shtua hii mijadala ni pre-planned kupoteza watu maboya.
 
Hivi usalama wa Taifa huwa hawahusishwi kwenye kumfahamu mteule wa Rais?

Kama wanahusishwa,je wako chini ya nani?
Mimi ninasikitika huenda kuna jambo haliko sawa hadi umsikie CDF akisema hadharani mambo mazito kiasi hicho!

Government Security Agency , GSO inahusika ndio vetting

Shida TZ haipo real

Kuwa na raia wa kigeni sio shida, shida ni pale wanapojiattach ni wazawa. Hata mm Canada, nimechukua uraia wa Canada nimekana wa TZ , lakini inajulikana wazi kuwa mm ni raia by registrations na nipo kwenye rekodi zao vizuri

Sasa mtu kama Bashe , Kinana , Mipango na wengineo hizo zote zimejiattach

Ifike mahala Serikali iwekeze mipakani na kwenye national security

Kama ningekuwa Rais , ningechukua wosomi vijana wote , napeleka mafunzo then nakuja kuwamwaga kwenye mipaka

Mipaka yetu inalindwa na watu wahuni na wenye njaa ni hatari sana

Jeshi wapo wachache kulinda mipaka ipasavyo
 
Hii ni hatari sana!!
Watanzania tupo warahisi sana kuchezewa akili zenu. Lakini acha tu tuchezewe kwani huwa hatutaki kutafakari. Hivi jambo kama ni hili ni la utekelezaji au ni la kusemea kwenye majukwaa! Tuna idara za usalama, upelelezi na ulinzi.

Kama wamegundua kuna watu wa aina hii kwa nini wasiondolewa kwanza? Rais kila siku ni lazima apewe briefing kuhusu masuala mbali mbali ya nchi, ina maana hawakumwambia huko kwenye vikao?

Kwangu mimi hili ni suala la utekelezaji zaidi na siyo suala la kusemea jukwaani. Otherwise, kuna jambo fishy linataka kufanywa na huu ni mwanzo tu wa kulihalalisha.
Atakuwa kaongea hadharani kwa malengo maalumu na huenda hata Raisi anajua mpango mzima.
 
Mipasho? Sipo huko tafuta member mwingine.
Hakuna mipasho.
Akisimama tena CDF akasema mafisadi wanaimaliza nchi halafu watu wakaanza kuwataja mafisadi.

Utakuja na swali hilo hilo mlikuwa wapi kuwataja? CAG anakula hela za serikali kwa kutoa ripoti zinazotupwa kapuni.

Vyombo vya usalama vinalipwa kwa kazi gani kama wameshindwa kung'amua hadi aje ataje madeleka?

Katibiwe bana. Tutakuchangia gharama za matibabu
 
Back
Top Bottom