Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Una akili sana unapokuwa unajadili hoja zisizo za udini na uCCM.
Upo sahihi sana.
Itabidisheria m[pya zitungwe? Maana kwa sheria za sasa za Tanzania itabidi nusu au zaidi ya Watanzania waondoke.


Mimi Mtanganyiika, nirudisheni Tanganyika. Sijawahi kuuomba Utanzania wala kuukana Utanganyika wangu na sijawahi kuupinga utawala wa Muingereza. Nirudisheni kwetu Uingereza. Nimezaliwa wakati wa Utawala wa Muingereza.
 
Hadi mwenye chama pia anahusishwa kuwa Ni muoman [emoji23][emoji23][emoji23]


Ila tuseme ukweli watanzania halisi kwa asili Ni wagogo tu

Ila pia wanasemaga malecela nae Ni mkongomani [emoji23][emoji23]
Ndio maana wazanzibar wanataka nchi yao kwa fikra kama hizi vipi utakuwa na mapenzi ya kweli na nchi, Angalia wazanzibar walivo na uchungu na nchi yao.. Africa huwezi linganisha na nchi zilizoendelea zenye mifumo thabit
 
Kuna mtu alikuwa ni mfungwa akatumikia kifungo jela kikaisha eti na yeye leo ni Askari kwenye moja ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama tena hivi vikubwa vikubwa . Aibu hii [emoji706]
Mtaje ni nani? Mbona unaandika kimafumbo bado unatumia ID FAKE.. mtaje hapa
 
Huyo Biteko ni miongoni mwa watu wa kutiliwa mashaka makubwa. Maana kila alipowekwa alijifanya mzalendo sana kwa maneno lakini matendo yake ni mabaya ya kutisha.

Amekuwa Waziri, anawanyang'anya maeneo Watanzania wanayomiliki kihalali na kisheria, halafu anawapa Wanyarwanda wenzake! Ina maana hawapendi Watanzania. Yupo kwaajili ya kuwanufaisha Wanyarwanda wenzake. Na sijui kama dhamira yake inaishia tu hapo kwenye kujinufaisha yeye binafsi na kuwanufaisha wenzake, au huenda kuna makubwa mabaya zaidi anayoyaandaa.

Marehemu Mengi (RIP) alitumia zaidi ya bilioni 15 kufanya utafiti wa dhahabu kwenye vitalu vyake kule Shinyanga. Mara baada ya kufariki, Biteko akaifuta leseni kihuni akampa mnyarwanda mwenzake Evarii anayemtumia kwenye huo uovu maeneo mbalimbali. Familia ya Mengi imehangaika bila mafanikio. Maana huo utajiri anaoupata, sehemu yake anawagawia TISS wa ikulu, hasa wale wanaofanya vetting.
Doto Biteko! aisee hili linchi halina mwenyewe bhana!
 
Hapana !
Najaribu kuonyesha kwamba kila aliyefuata taratibu zote za sheria inavyotaka ili atambulike kuwa ni raia halali wa Tanzania ana haki zote kupata nafasi yeyote ya uongozi ndani ya Nchi. !
Kasoro urahisi
 
Wana wasiwasi na watusi mpaka nunaweza hisi watusi sio binadamu wa kawaida bali ni aliens
Watusi si watu wa mchezo mchezo
Wale jamaa wamekuja duniani kutaka
Power tu
Wale syo watu wa kukata mauno mauno
Na kama huko mbeleni wataitawala afrika mashariki yote Acha watawale tu

Ova
 
Tuchukulie kuwa potea potea itazidi hivi karibuni.

Siioni sababu nyingine ya kuwa muwazi namna ile, mpaka inatisha. mambo mazitp sana yale kwa usalama wa Taifa.

Tusubiri tu poteapotea na fichaficha mpaka kieleweke.
Mbona mnawasiwasi sana na watusi
[emoji1]
Acha waje wawatawale waongoze
Tu

Ova
 
Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda amemueleza Rais kuwa Kuna wakimbizi wapo Hadi Serikalini na wamepewa nafsi za juu kabisa za kimaamuzi

Hili inashangza na kufikirisha Sana inakuwaje Hadi mkuu wa majeshi anawajua wakimbizi na wameteuliwa na wala hajawasiliana na mamlaka za uteuzi kuzuia uteuzi wao yeye amekaa kimya Hadi leo ndio Kuja kumueleza Rais by suprise.

Mimi najiuliza hivi Rais leo atapata usingizi Kweli? Atakuwa anajiuliza ni Nani huyu nimemteua ambae Ni mkimbizi?

Lazima Rais atapitia mafail yake kwa upya mnk kwa taarifa ya leo wa kamanda wake CDF kusema wasiwasi kuwa unawateua hadi wakimbizi inamaana kwamba wasaidizi wake wanamuingiza Chaka.

Anyway Kama Kuna kiongozi au afsa tunamuhisi siyo mtanzania mwenzetu Basi tumtaje hapa hajui kuwa siyo mwenzetu.

- Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Pitieni huu uzi
beteko--tutsi,bashe,kinana-shabab nk
 
Back
Top Bottom