Nilisikia ni wakandarasi waliharibu kazi majengo yakaporomoka, nao wanaporomoshwa na AK 47.Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.
Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
Kuna Trainings wanapitia na wanakomazwa not to think like Human......baada ya hapo wanakuwa kama Kondoo.....akiambia Piga huyu Ua haulizi niue kwa nini.Ukiingia huko utaharibika akili.. huruma zote zinakuisha
Mwezi uliopita kule Sudan kuna wanamgambo walivamia kijiji fulani wakasomba lundo la watu na kuanza kuwarusha kwenye makaburi ya halaiki na kuwazika wazima wazima kama walivyo, ile video ilirushwa bbc. Youtube itakuwepo pia.Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.
Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
God have a Mercy on Us.😭😭😭Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.
Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
Nafikiri.Hawa ni waarabu 😭
AiseeMwezi uliopita kule Sudan kuna wanamgambo walivamia kijiji fulani wakasomba lundo la watu na kuanza kuwarusha kwenye makaburi ya halaiki na kuwazika wazima wazima kama walivyo, ile video ilirushwa bbc. Youtube itakuwepo pia.
Hii dunia ina unyama zaidi ya huo ambao umeuona wewe.Aisee
Hiyo ni kawaida ktk nchi zenye utawala wa kiimla. Mfano rahisi ulio hai ni yule "mtu asiyejulikana" aliyehusishwa na suala la kumteka na kumtesa vibaya sana Dkt. Ulimboka, yule mhusika alipandishwa Cheo baada ya tukio lile. Na sasa amepandishwa Cheo kikubwa zaidi kwani nasikia yupo 'Mjengoni' kule Dodoma anaendelea kulamba asali kama fadhila kwa kazi yake hiyo ngumu aliyotekeleza.Uliona Vyeo alivyopewa Ramadhani Kingai baada ya kazi ile??
Crew yake yote iliyoshughulilia Kesi ya Uongo ya Mbowe na Wale Makomando walipandishwa vyeo.
Huo ni mfano tu.
Adhabu kama hizi zingekuwa zinatekelezwa dhidi ya Watawala na Wananchi Mafisadi waliopo Barani Afrika ingependeza sana. Nchi za Afrika zingepata maendeleo chapuchapu, tena nchi zetu zingekuwa ni "mahali patakatifu," huu ujinga ujinga tunaoshuhudia kila leo usingekuwepo.Nilisikia ni wakandarasi waliharibu kazi majengo yakaporomoka, nao wanaporomoshwa na AK 47.
Dunia sio mahali salama tena.Mwezi uliopita kule Sudan kuna wanamgambo walivamia kijiji fulani wakasomba lundo la watu na kuanza kuwarusha kwenye makaburi ya halaiki na kuwazika wazima wazima kama walivyo, ile video ilirushwa bbc. Youtube itakuwepo pia.
Najuta kuiangalia.Hii Video ni ya kipindi cha Civil War ya Syria na hao wanaoua wenzao ni ama Jeshi la Assad au Wanamgambo Waasi wa Free Syria Army.
Mkuu umekosea kutotoa tahadhari kwanza kuonya kuingalia. Angalia sasa trauma tushapata.Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.
Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
Na wewe una huruma?God have a Mercy on Us.😭😭😭
Inasikitisha sana, inatukumbusha Wasiojulikana wa Awamu ya Magufuli.Najuta kuiangalia.
Ni waislam hao
Kwahyo kila mwarabu muislamu na kila mzungu ni mkristo.....na wewe ni wa kusukumwa kwenye shimo na kula shaba ya kisogo huna akiliNi waislam hao
Wewe ukipewa kuku utaweza kweli kumchinjaa...Watu wanayaweza! Nilivyo na huruma hata mtu akinipiga kumrudishia siwezi😰
Siwezi! 😒Wewe ukipewa kuku utaweza kweli kumchinjaa...
Naendelea kuomba radhi mkuu. Samahanini sanaMkuu umekosea kutotoa tahadhari kwanza kuonya kuingalia. Angalia sasa trauma tushapata.