Hawa wanajeshi katili ni wa wapi?

Hawa wanajeshi katili ni wa wapi?

Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.

Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
Nilisikia ni wakandarasi waliharibu kazi majengo yakaporomoka, nao wanaporomoshwa na AK 47.
 
Ukiingia huko utaharibika akili.. huruma zote zinakuisha
Kuna Trainings wanapitia na wanakomazwa not to think like Human......baada ya hapo wanakuwa kama Kondoo.....akiambia Piga huyu Ua haulizi niue kwa nini.

Kwenye Jeshi la CIA kuna Kitengo chao including Snipers
 
Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.

Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
Mwezi uliopita kule Sudan kuna wanamgambo walivamia kijiji fulani wakasomba lundo la watu na kuanza kuwarusha kwenye makaburi ya halaiki na kuwazika wazima wazima kama walivyo, ile video ilirushwa bbc. Youtube itakuwepo pia.
 
Aisee
 
Uliona Vyeo alivyopewa Ramadhani Kingai baada ya kazi ile??

Crew yake yote iliyoshughulilia Kesi ya Uongo ya Mbowe na Wale Makomando walipandishwa vyeo.

Huo ni mfano tu.
Hiyo ni kawaida ktk nchi zenye utawala wa kiimla. Mfano rahisi ulio hai ni yule "mtu asiyejulikana" aliyehusishwa na suala la kumteka na kumtesa vibaya sana Dkt. Ulimboka, yule mhusika alipandishwa Cheo baada ya tukio lile. Na sasa amepandishwa Cheo kikubwa zaidi kwani nasikia yupo 'Mjengoni' kule Dodoma anaendelea kulamba asali kama fadhila kwa kazi yake hiyo ngumu aliyotekeleza.
 
Mods futeni hizi video za hivi, JF vipi siku hizi, hizi video sio sawa kuonyesha watu kwenye platform za wazi kama hii, kama mtu anapenda aangalie yeye mwenyewe
 
Nilisikia ni wakandarasi waliharibu kazi majengo yakaporomoka, nao wanaporomoshwa na AK 47.
Adhabu kama hizi zingekuwa zinatekelezwa dhidi ya Watawala na Wananchi Mafisadi waliopo Barani Afrika ingependeza sana. Nchi za Afrika zingepata maendeleo chapuchapu, tena nchi zetu zingekuwa ni "mahali patakatifu," huu ujinga ujinga tunaoshuhudia kila leo usingekuwepo.
 
Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.

Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
Mkuu umekosea kutotoa tahadhari kwanza kuonya kuingalia. Angalia sasa trauma tushapata.
 
Back
Top Bottom