Hawa wanajeshi katili ni wa wapi?

Hao wanajeshi wakimaliza kazi hiyo ndio wale unasikia wanapandishwa vyeo vya nishani sijui na nini tena.

Ogopa sana ukisikia Mwanajeshi anapandishwa cheo[emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wasiijulikana wa CCM ni makatili kama hawa tu Azory Gwanda aliuwawa kikatili sana na Balozi wetu fulani alieko huko Southern Rhodesia.
 
Sitaki kuamini kuwa hilo ni tukio halisi! Labda ni video ya kutengenezwa.
Mkuu unajifariji namna hiyo kweli katika dunia hii ya wadhalimu!

Nadhani haufuatilii mambo yanayotendeka hasa nchi za kiarabu.

Watu wanafanyiana ukatili usio na kiwango cha ustaarabu ama haki za binadamu.

Haujawahi ona clips za wanajeshi wa Yemeni, matendo wanayowafanyia wale wanaoonekana kwao wana hatia?

Je haujawahi kuona utekelezwaji wa adhabu ya kifo nchini Saudia?

Ni ukatili wa kutisha zaidi ya huu na clips zipo zimezagaa mitandaoni.
 
Mhhhh mbona balaa aiseh
 
Syria iraq civil war 2013 - 2019 warabu waliuwana sana walifanyiana ukatili sana kuna video nyengine mtu anachinjwa kama kuku
 
Duniani Kuna unyama mwingi hata sisi yalitokea mengi sana ila naona walinyang'anywa simu zao wakapewa Nokia za kitochi kila mhusika wa viroba
Laiti wangekuwa wanarekodi yale mateso naona hii ingekuwa cha mtoto
 
Wadau hii Video ni noma sana aisee. Kuna watu wana Roho ngumu sana. Ila huwezi jua labda na wao walifanyiwa mambo mabaya sana na hawa watu. Tunapaswa kusikiliza na Upande wao hawa.

Wee unadhani IDF akikamata viongozi wa HAMAS atawafanya nini?
 
Kuna watanzania wanaenda Saudi Arabia kufanya kazi jamanii...
 

Ipo haja ya kuwepo siku ya malipo kwa kile kinafanyika , mtu anapigwa chuma ya kichwa kaburi moja watu 200+ hao wote ni wamefanya kosa gani?

Duniani hakuna haki haki ipo kwa Mungu, Mungu ametuleta yeye ametubainishia halali na haramu ibaki sisi tufanye, wenye kudhulumu na kudhulumiwa haki yao wataipata
 
Wadau hii Video ni noma sana aisee. Kuna watu wana Roho ngumu sana. Ila huwezi jua labda na wao walifanyiwa mambo mabaya sana na hawa watu. Tunapaswa kusikiliza na Upande wao hawa.

Wee unadhani IDF akikamata viongozi wa HAMAS atawafanya nini?
Vyovyote vile mkuu, hawakupaswa kutenda ukatili mkubwa kiasi hicho.
 
Mkuu, kwa hii comment wewe Great thinker adimu sana humu jukwaani asante sana Mkuu.👊👊
 
CCM kipindi cha mwendazake walifanya unyama zaidi ya huu
Hapana mkuu, Acha masihara hakijawahi kutokea kitu kama hiki wala kinachokaribiana hata kidogo, Futa kauli yako. Pamoja na matatizo yetu kadha wa kadha ila watanzania tunapendana sana na angalau tuna ka utu japo shida yetu ni uchawa na njaa tu.
 
Mambo ya waarabu hayo huwezi Kuta mataifa civilized yanakua hvo
Mkuu, Mimi sidhani Waarabu wote ni "makatili". Sijawahi kuwasikia Waarabu wa Misri na wa Dubai wamefanya "ukatili" kama huo karne hii.
 
Hawa ni wanajeshi wa Serikali ya Syria inayoongozwa na Rais Bashar Asad Wakiwauwa Magaidi wa ISIS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…