Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

Ukute mleta mada na wenzako mnaorushiana maneno wote hamjawahi miliki gari wala mfano wa gari ........
 
Mbona ilishaharibiwa na mafuriko? Hapo ni vyuma chakavu tu mkuu.
 
Wewe ndo tahira wa matahira chassis itafungiwa kwa wapi nusu ya gari imezama yote kwenye matope pumbav wahed wewe
Wewe nyau acha ujinga, matope gani yapo pale wakati ule ni mtaro uliojengewa kwa zege? Kile kijiko chao kingechota mara tatu tu ule udongo ungeacha nafasi na wao wangelivuta gari.
 
Mbona ilishaharibiwa na mafuriko? Hapo ni vyuma chakavu tu mkuu.
Gari nzima kabisa hiyo, ilikuwa inafanya kazi kawaida na ilisogezwa na maji umbali wa mita 50 kutoka ilipokuwa ikaja kugota hapo.

Injini ikifanyiwa overhaul inapona.
 
Gari nzima kabisa hiyo, ilikuwa inafanya kazi kawaida na ilisogezwa na maji umbali wa mita 50 kutoka ilipokuwa ikaja kugota hapo.

Injini ikifanyiwa overhaul inapona.
Kama gari nzima unafanya overhaul ya nini? Gari limetengenezwa kuweza kupita kwenye maji na kuacha yatiririke na kukauka, siyo kukaa kwenye maji muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…