uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Hapakua na haja ya kutumia njia hiyo, palikua na possibility nyingine ya kuondoa hio gari hapo bila kuharibu. Mbona hilo tope sio kubwa hivyo
Exactly the point.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapakua na haja ya kutumia njia hiyo, palikua na possibility nyingine ya kuondoa hio gari hapo bila kuharibu. Mbona hilo tope sio kubwa hivyo
Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa.
Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi?
Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi wangeifanya hivi?
SawaHii sio kweli kwangu
Mbona ilishaharibiwa na mafuriko? Hapo ni vyuma chakavu tu mkuu.Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa.
Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi?
Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi wangeifanya hivi?
Hizo ndio huyo za wa Tz , unaulz uhai wa binadamu wakat wanadili na mali sasaUhai wa mwanadam unakujaje kwenye hii issue ya kutoa gari? Walikuwa wana haraka ya kuwahi binadamu au? Ama kuna uhai wa mtu huko chini?
Wewe nyau acha ujinga, matope gani yapo pale wakati ule ni mtaro uliojengewa kwa zege? Kile kijiko chao kingechota mara tatu tu ule udongo ungeacha nafasi na wao wangelivuta gari.Wewe ndo tahira wa matahira chassis itafungiwa kwa wapi nusu ya gari imezama yote kwenye matope pumbav wahed wewe
Hata bodi inanyoosheka vizuri tuu, japo bodi ya hiace ni nyepesi sanaInjini ikifanyiwa overhaul inapona
Ukute mleta mada na wenzako mnaorushiana maneno wote hamjawahi miliki gari wala mfano wa gari ........
Kama gari nzima unafanya overhaul ya nini? Gari limetengenezwa kuweza kupita kwenye maji na kuacha yatiririke na kukauka, siyo kukaa kwenye maji muda mrefu.Gari nzima kabisa hiyo, ilikuwa inafanya kazi kawaida na ilisogezwa na maji umbali wa mita 50 kutoka ilipokuwa ikaja kugota hapo.
Injini ikifanyiwa overhaul inapona.
Ndio hujakosea maskini na magari wapi na wapiBila shaka wewe pia ni miongoni mwao hao wasiomiliki gari.