Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

Hapakua na haja ya kutumia njia hiyo, palikua na possibly nyingine ya kuondoa hio gari hapo bila kuharibu. Mbona hilo tope sio kubwa hivyo
Kwanza jiandikie lugha yako ya kuzaliwa,tunajua umesoma,lakini ndo hivyo ni wale wale mchongo tu. Ficha uovu
 
Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa.

Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi?

Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi wangeifanya hivi?

View attachment 2834898
mituinga mingi akili kidogo
 
Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa.

Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi?

Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi wangeifanya hivi?

Wanajeshi waliopiga watu Kawe ilitakiwa wakupige wewe ili upate akili.
 
Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa.

Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi?

Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi wangeifanya hivi?

Ndiyo mwisho wa akili yao ilipofikia.
 
Hapakua na haja ya kutumia njia hiyo, palikua na possibility nyingine ya kuondoa hio gari hapo bila kuharibu. Mbona hilo tope sio kubwa hivyo
Yaani pamoja na tofauti kubwa ya kiitikadi btn us, mchango wako huu tupo pamoja, uokoaji wetu ni zero, nguvu nyingi zenye ujinga mwingi, hii gari ingetolewa vema zaidi kama waokoaji wangekua na zana bora kwa kazi za uokoaji, kinachofanyika hapo ni zana moja kutumika kwenye uokoaji wote!,MV BUKOBA ni mawazo ya kipumbavu yaliifanya ile meli izame, na ile picha pekee ilipigwa na journalist aliyetokea Kisumu, bila yeye tusingekua na kumbukumbu yeyote
 
Tatzo kutojali ila nazn njia rahis iliwezeka kuchota tope na kijiko hiko then walivute kwa kufunga kamba kwenye chesesi

TATZO vijan wengne hawajui ugumu wa maisha au kuw na ujali,
Hapo ni hasara ma hasara ,
 
Justification kwamba askari huwa hawana akili, walishindwa nini kuivuta kwa nyuma kwa kufunga chain kwenye chasis yake
Unatak wachafuke mkuu[emoji16][emoji16][emoji3482][emoji3482]
 
Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa.

Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi?

Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi wangeifanya hivi?

Mbona kawaidaaaa sanaa sasa angefanyaje ? Akapambane nabodi...
 
Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa.

Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi?

Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi wangeifanya hivi?

Wangeweza funga cable 4 ika balance wakavuta tokea kwa chasis, kapewa mtu ufukara.
 
Back
Top Bottom