Daah πππ, tutakua tumeizalilisha sana elimu yetu... Imagine medical doctor wa Muhimbili pale anaingia zake street anatembeza mayai, iyooo mayaiiiii mayaiiiii iyooooo, huku anapiga yale mabusu ya kuitia wateja π€£π€£π€£Kumbuka, njaa haina adabu, na kazi ni kipimo cha utu
Tatizo hizo kazi, wengi wanazidharau; bila kujua, matokeo ya kazi ni kipato, na kutembeza kahawa kuna kipato pia.Kama mtu anaenda kusoma aje kutembeza mahindi na kahawa, bora mzazi ungempa hiyo fee aanze mapema baada ya kumaliza form 4 au six tena kwa karo hiyo angeanza kwa kishindo na kijiwe cha maana.
Mayai yake mawili na sausage Moja daima haachani navyoKwahiyo unataka mtu mwenye degree yake ya engineering au udaktari au uticha wa mathe aende akatembeze mayaiππππ
Njaa haijakukamata bado, pale Gaza walikuwa wanachezea maji, ila kwa sasa ata maji machafu watakunywa ili kukata kiu.Hizo sio ajira mkuu. Hivyo ni vibarua
Watakuwa wanataka ajira zipi?Tena makishabu
Daah πππ, tutakua tumeizalilisha sana elimu yetu... Imagine medical doctor wa Muhimbili pale anaingia zake street anatembeza mayai, iyooo mayaiiiii mayaiiiii iyooooo, huku anapiga yale mabusu ya kuitia wateja π€£π€£π€£
Una masihara na maisha ya watu.
Kwa kweli ni noma ila ni option ya mwishoTatizo hizo kazi, wengi wanazidharau; bila kujua, matokeo ya kazi ni kipato, na kutembeza kahawa kuna kipato pia.
Uliyo nayo weweWatakuwa wanataka ajira zipi?
Tukiweka aibu pembeni, tatizo la ajira litaishaKwa kweli ni noma ila ni option ya mwisho
Nipo kwenye kijiwe changu cha kuchoma mahindiUliyo nayo wewe
Duh kwa akili hizi kweli ni bora tu mkoloni angeendelea kubaki hukuKuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?
Wanahitajika:-
Wachoma mahindi nafasi 2000 Watembeza kahawa maeneo ya stendi nafasi 1000 Watembeza mayai mchemsho nafasi 500 Watembeza karanga zakukaangwa nafasi 1000 Watembeza barafu nafasi 500 Watembeza mboga mboga nafasi 500
Haliwezi mkuu hizo kazi watu watazifanya tu kwa frustration na depression kuganga njaa. Imagine muda na fedha mtu aliyotumia kupata hiyo degree yake, si bora tu angeanza mapema.Tukiweka aibu pembeni, tatizo la ajira litaisha
Yeah umeongea vyema ingawa mambo haya huwa watu wanachelewa kuyajua kwa maana hadi unamaliza unakua na matumaini ya kuajiriwa ili ukatumike kwenye kile ulichosomea.Kwa mwenye elimu sahihi, elimu aliyonayo itampa fursa ya kutumia rasilimali zilizopo na kuzigeuza fursa; ila kwa asiye na elimu sahihi atabaki akizunguka na bahasha hapa na pale kutafuta pa kujishikiza.
Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?
Wanahitajika:-
Wachoma mahindi nafasi 2000 Watembeza kahawa maeneo ya stendi nafasi 1000 Watembeza mayai mchemsho nafasi 500 Watembeza karanga zakukaangwa nafasi 1000 Watembeza barafu nafasi 500 Watembeza mboga mboga nafasi 500
Kama wametuachia elimu ambayo haitusaidii katika kutatua changamoto zetu, tufanyeje sasa?Duh kwa akili hizi kweli ni bora tu mkoloni angeendelea kubaki huku