Hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?

Mkuu ajira hamna kabisa. Mwenyew unaona za wachoma Chipsi na mishkaki hazipo
 
Hizi sio kazi huwa tunaita mihangaiko na degree yangu barafu naweza kutembeza Ila zingine . Haswa hiyo ya mwisho hapana mkuu 🙌
 
Maisha yanahitaji ujanja, ni sawa na kijana wa lasaba kwenda kusomea urubani, huku wewe ukisubiria umalize chuo ndio ukasomee.
 
Wap huko
 
Changamoto ni mfumo wa elimu na malezi, wengi tunasoma ili kufaulu mitihani; ila kiuhalisia ni wachache elimu zinawasaidia katika kukabiliana na mazingira.
 
Umenichekesha mkuu kuna mwanangu juzi ananiambia kuna shule imefunguliwa mshahara laki moja kwa mwezi masomo mawili kiswahili na history form three na form four 🤣chakula ni uji sanne kwa mwalimu alafu mchana ugali maharage
Ndio kazi zilizobakia, mwambie apige kazi.
 
Waambie Wana ccm wenzako!😳
 
Changamoto ni mfumo wa elimu na malezi, wengi tunasoma ili kufaulu mitihani; ila kiuhalisia ni wachache elimu zinawasaidia katika kukabiliana na mazingira.
Sure mkuu... Ila huko tunakoelekea nadhani mambo yatakua tofauti kidogo kwa maana madogo wanajua kabisa kwamba wako wengi so wote hawawezi kufit kwenye mfumo wa ajira, wataanza kujiongeza.
 
Mkuu ajira hamna kabisa. Mwenyew unaona za wachoma Chipsi na mishkaki hazipo
Hizi za kutembeza vitu, zipo nyingi; kuna mabeseni na vyombo huku mtaani kwetu wanahitaji wasambazaji.
 
Maisha yanahitaji ujanja, ni sawa na kijana wa lasaba kwenda kusomea urubani, huku wewe ukisubiria umalize chuo ndio ukasomee.
Hiyo shortcut wazazi walikuwa wana fedha mkuu. Kama familia inajiweza kuna shortcut nyingi maishani.
Ulishawahi kusikia wale wahudumu wa sgr kazi zao zinatangazwa?
 
Sure mkuu... Ila huko tunakoelekea nadhani mambo yatakua tofauti kidogo kwa maana madogo wanajua kabisa kwamba wako wengi so wote hawawezi kufit kwenye mfumo wa ajira, wataanza kujiongeza.
Na viwanda vidogo vidogo vyote vitakufa, mchina anakuletea bidhaa nzuri kwa bei ya chini. Kuanzia nguo, samani, vifaa vya ujenzi n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…