Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #61
Uko sahihiHiyo shortcut wazazi walikuwa wana fedha mkuu. Kama familia inajiweza kuna shortcut nyingi maishani.
Ulishawahi kusikia wale wahudumu wa sgr kazi zao zinatangazwa?
Kumbuka, hizo mpaka waliopo wastaafu 😀😀; kwa hiyo una miaka 20+ ya kuwasubiria.Sasa hao ni 5500 tu, ajira tutakazo ni za kupelekwa kazini na kurudishwan majumbani
Utaanzishaje familia sasa, kama huna kipato?Mwanangu hapana wacha niendelee kula utawala
Ni nacho mkuu Sema ni kidogo Ila kinatosha kwa mimi kuanzisha familyUtaanzishaje familia sasa, kama huna kipato?
Ni nacho mkuu Sema ni kidogo Ila kinatosha kwa mimi kuanzisha family
Jamaa alikua na a.k.a nyingi sana, hivi ile a.k.a ya KAFAYA ilitokana na nini, au ina maana gani?
Shida syo KAZI ni gharama y elimu uliyo ipata ukatumie sehemu ambayo kurudsha gharama itachukua alot of yearKuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?
Wanahitajika:-
Wachoma mahindi nafasi 2000 Watembeza kahawa maeneo ya stendi nafasi 1000 Watembeza mayai mchemsho nafasi 500 Watembeza karanga zakukaangwa nafasi 1000 Watembeza barafu nafasi 500 Watembeza mboga mboga nafasi 500
Zilasimishwe zitatoa faida haswaWatu wanatakiwa waelewe, tatizo la ajira halipo; bali kuna tatizo la kubagua kazi.
Hatari yani, kadri siku zinavyokwenda ugumu nao unaongezekaNa viwanda vidogo vidogo vyote vitakufa, mchina anakuletea bidhaa nzuri kwa bei ya chini. Kuanzia nguo, samani, vifaa vya ujenzi n.k
Ninaishi na singo maza mmojaUsianzishe familia mapema, kujitwisha majukumu mapema ni kupoteza kisalio kidogo ulichonacho.
Fika miaka 35+ angalau ukiwa na mwanga tayari ndio uingie kwenye majukumu ya kumfuga binadamu mwenzako.
Mzee baba kazi gani hiyo 7MHawa madogo wanataka akigraduate tu analipwa milioni 7.
Ndicho wanachowaza hawa wadogo zetu,Mzee baba kazi gani hiyo 7M
Kosa ni kurudia kosa, songa mbele, fanya kinachowezekana kukuingizia kipato.Shida syo KAZI ni gharama y elimu uliyo ipata ukatumie sehemu ambayo kurudsha gharama itachukua alot of year
Zikirasimishwa zitakuwa hazina faida kwa sababu, faida ndogo unayoipata itabidi ulipie kodi.Zilasimishwe zitatoa faida haswa
Ndio maana nyakati hizi ata undugu unapoteaHatari yani, kadri siku zinavyokwenda ugumu nao unaongezeka
Nakuona umejitwisha gunia la misumariNinaishi na singo maza mmoja
Tatizo tukiwa vyuoni huwa tunadanganyana sana, ila tukiingia uraiani ndio ukweli unajulikana.Hawa madogo wanataka akigraduate tu analipwa milioni 7.
Hizo ajira au usenge kuna mwingine kaandika ajira ya kuokota taka sio kuzoa taka kuokota taka nafasi 5000 mshahara 250,000/=Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?
Wanahitajika:-
Wachoma mahindi nafasi 2000 Watembeza kahawa maeneo ya stendi nafasi 1000 Watembeza mayai mchemsho nafasi 500 Watembeza karanga zakukaangwa nafasi 1000 Watembeza barafu nafasi 500 Watembeza mboga mboga nafasi 500
Umenikumbusha juzi kuna binti nikamuona anasema kasoma archeology udsm salary scale akasema hawezi fanya chini ya Milion 2Ndicho wanachowaza hawa wadogo zetu,
Ndoto na uhalisia ni vitu viwili tofauti kabisa.