Mwanaume kucheat haipingiki,mi nazungumzia kupeana penz ndoani ratiba tuziache tupeane penz pale nafasi inapopatikanaMwanaume hata uweke lidudu lake puani nyeigee zikiisha mkitoka kwake au guest au hata kwenye misutu huwa anasahau anaangalia mwingine.
Kweli hawa nikutafuta mnae elewana naye mpange muoane umpe maujuzi ya wastani usijichoshe hata jatafute hela watoto wanakuja watakula nini mkiendekeza mapenzi hadi kwenye silling board wewee huu muda hamnaga nikipindi kile cha hawa na adam sai nikutafuta hela .
Umeongea maisha halisia, matumizi yaulimi Kwa wadada au wanawake Kwa wapenzi au wame zao nijambo lakuzingatiwa Saana Sana, wanaume tuliowengi hatupendi kufokewa haswa mbele zawatu huharibu kabisa saikolojia ,nadhani ninature sijui ,Ila ubongo wamwanaume humtafsiri mwanamke mfokeaji kama adui /threats,Tu nasio mpenzi hivyo kupelekea hisia za kimahbaa namapenzi kukata nakuhisi anaupungufu wanguvu zakiume,binafsi imewahi Nikuta hii nailewa Sana hii,.[emoji3059]ee bhana,maana hata tujikweze vp haibadiliki kuwa Nyie ni baba zetu
You've got it wrong,Exactly,kwa hiyo hayo uliyoandika yafanyike hayasaidii kitu... kama sio wako hata utoe figo kwa ajili yake hawezi kubaki
Kama mmependana mtaishi kama binadamu wa kawaida,haitakiwi kuwepo upande mmoja unaofanya jitihada nyiiiingi ili mahusiano yenu yadumu
Kumridhisha binadamu ni ngumu
Tusijibane sana mkuu,tunajitesa wenyeweβ€οΈSawa sasa mama kila tar 25 me ntakua nasogeza fedha ya data
Yaani usije kosa bundle kabisaaaaaaa[emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
Ndio maana namkumbukaga x x x
Yule mdada alikua hanaga pingamizi aise[emoji16][emoji16] wangoni shikamoo[emoji1316]
Nlikua nae kwa miezi kadhaa tu
Ila katika siku zote siku tulizo x bedroom ni 2,3 nadhan
Ila za outside ni kama zote
Kuna day tulikua tumeenda sehemu hivi kutembea tupoteze muda...of corse sikua nmewaza ku x
Akanmby twende tukakae palee juu ya lile jiwe...
Kilichofuata ndio hivyo tena
Pia hi n nzuri km babe wako ni mwembamba hiv[emoji3]
Kauli hujenga na kubomoa.Ulimi ni sumu ukiutumia vibayaπ€Umeongea maisha halisia,matumizi yaulimi Kwa wadada au wanawake Kwa wapenzi au wame zao nijambo lakuzingatiwa Saana Sana,wanaume tuliowengi hatupendi kufokewa haswa mbele zawatu huharibu kabisa saikolojia ,nadhani ninature sijui ,Ila ubongo wamwanaume humtafsiri mwanamke mfokeaji kama adui /threats,Tu nasio mpenzi hivyo kupelekea hisia za kimahbaa namapenzi kukata nakuhisi anaupungufu wanguvu zakiume,binafsi imewahi Nikuta hii nailewa Sana hii,.
U understood me well... that's what I meantYou've got it wrong,
Mwanaume anaweza kupewa kila kitu na akaondoka , lakini pia anawe,a akanyimwa au kupewa kwa masharti na akabaki ndani ya ndoa !
Mtoa mada hataki kukaa kwenye upande wa yeye kuwa ndio sababu ya break up , thats all,
Hata kama wanaume tuna desturi ya ku cheat , lakini hakuna mahusiano magumu kuyaacha kama mwanamke anatimiza wajibu wake bila shuruti, na ndoa zilitakiwa zijengwe kwa staili ya wanawake kama mtoa mada
Nakukubali mkuu.Litolewe sanamu la askari pale post, lijengwe la kwako..
Kunywa na kula chochote utakacho mimi nitalipa.
Hapo umemuongelea mwanamke ninaemuhitaji mimi kwa 99%
π€£namba nne awe anatuma na ya kutolea auπMimi huwa namwambiaga mwanamke uwe na vitu vitatu
1.Malaya kitandani
Hakuna aibu aibu jichetue na jitoe ufaham.
2.Chief cooker jikoni
Pika mlo kama mgahawani japo mara moja kwa week hasa siku zile ana muda.
3.Mama ndani ya nyumba (sio dada au aunt)
Kauli, Ushauri na Usimamizi mzuri kama msaidizi na mshirika mzuri wa kulea familia.
4.Namba 1 [emoji1426]
1 na 2 , are my favourute as well, street sex languages as welll, kama ni kijiko kiitwe kijiko kweli na si altenative languagesMimi huwa namwambiaga mwanamke uwe na vitu vitatu
1.Malaya kitandani
Hakuna aibu aibu jichetue na jitoe ufaham.
2.Chief cooker jikoni
Pika mlo kama mgahawani japo mara moja kwa week hasa siku zile ana muda.
3.Mama ndani ya nyumba (sio dada au aunt)
Kauli, Ushauri na Usimamizi mzuri kama msaidizi na mshirika mzuri wa kulea familia.
4.Namba 1 [emoji1426]
Nilisikia aisee inasikitisha SanaAjali imetokea juzi hapo wamekufa watu 20
Sawa mwambaRelax kamanda
ππ nabadili idKho kho kho
Umeshamuacha yule unayempiga ukitoka kulewa?Huu Uzi sikuuona jn Nilikuwa wine nyingi..anyway na experience ndoa mpya nitachangis mwakani