Hawa wanaume hatujawajulia tu

Tena hao wanaosifika kwa kuyajua mapenzi hata ndoa zao huwa hazidumu wanaishia kuonyesha ufundi wao kwa wanaume wenye ndoa zao[emoji23]
 
Ukiyafanya haya kwa moyo utakuwa na nafasi nzuri ya kufurahia kila uhusiano hata kama hautadumu mda mrefu ila you did it with love and affection itaacha alama tu.

Kinachowacost wengi mkiolewa haya uliosema yote yanakuwa kama options. Mnaona mshamaliza yani ila kwenye kuitafta ndoa ni balaa. Utaitwa majina yote mazuri na kupetiwa
petiwa, utafuliwa na kupikiwa misosi ya 5 star 😁😁😁..

Mkishaanza kuishi pamoja una reveal upande wako wa uhalisia mineno ya shombo na ratiba za show zinaanza kisingizio ni kuchoka tu.
 
Kuna wife material non sexual na sexual, hawa sexual hudumu katika ndoa hao wengine wanakuwa too materialist yaani wao na mali tu, wanasahau kabisa ya kuwa sexual act ndilo jambo kuu na Takatifu sana na infact sisi wanaume huhitaji tendo katika kila possible angle inayotokea mfano bafuni wakati mnaoga hapa lazima kitu kifanyike.
 
Mtoa mada anazungumzia Wanaume ambao kuchepuka kwao ni asili kwa comment zao 😬
 
No one know tomorrow ukiwa una reasoning sana Kuna mambo utafanya alafu baadae hutaanza kujilaumu, ukipata nafasi una enjoy mkiachana hayo ni matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…