Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
HahahaKwenye sherehe za kutimiza miaka 61 ya Uhuru Disemba 9 upewe nishani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaKwenye sherehe za kutimiza miaka 61 ya Uhuru Disemba 9 upewe nishani
Nimecheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Trash, Basura, Spazzatura, Mycop, Mull, Takataka. [emoji706][emoji706]
LegendAhsante kwa kutusemea, huo ndio wajibu sasa unaotakiwa kutekelezwa pasipo kuanza kufosiana
Tena hao wanaosifika kwa kuyajua mapenzi hata ndoa zao huwa hazidumu wanaishia kuonyesha ufundi wao kwa wanaume wenye ndoa zao[emoji23]Exactly,kwa hiyo hayo uliyoandika yafanyike hayasaidii kitu... kama sio wako hata utoe figo kwa ajili yake hawezi kubaki
Kama mmependana mtaishi kama binadamu wa kawaida,haitakiwi kuwepo upande mmoja unaofanya jitihada nyiiiingi ili mahusiano yenu yadumu
Kumridhisha binadamu ni ngumu
Ukiyafanya haya kwa moyo utakuwa na nafasi nzuri ya kufurahia kila uhusiano hata kama hautadumu mda mrefu ila you did it with love and affection itaacha alama tu.Embu tujaribu mbinu hii, kuwapea game sehemu yoyote, I mean sebuleni, chumbani , jikoni, kwenye gari, bafuni... yaan popote. Hata mkitoka mkienda porini kutembelea mashamba yenu ... shikilia mti benua mti apige kimoja Cha faster. Kama unampenda kuwa Malaya tu kwake.. no way out.
Mbinu nyingine usichague wakati, yaan kama mpo pamoja tu mpe I mean iwe asubuhi, mchana au jion usiku pia, Leo akitaka mchana poa, kesho usiku poa... usimpangie eti nitakupa kesho mwenzio kataka Leo...😳mpe kile Cha chap Kwa haraka 😉 egamia hata kochi pandisha kasketi hako ashushe kabukta kake hako kagumu🤣 (kama ulimwachia afue hawajui kufua hao wanaacha tuboksa na povu ikikauka inakakamaa kama inataka kusimama Dede🙄)
Jambo lingine ni usisubiri aanze yeye kudai haki ya ndoa, anza hata wewe mwenyewe.... hizi aibu utafikiri ndio mnaanza kutongozana zinacost aisee.... hata usipotamka ukishika tu pahala pale akakutazama usoni na macho yakaongea aisee, mbona anavua chap Kwa haraka hawasubirigi hao🙌
Mtu mwingine anaweza kusema tutakuwa tunashindia ngono tu☹️... maskini 🥺ndio maana ulioa, uliolewa la sivyo ungekaa hata na nduguzo.....
Na mwisho ni matumiz mazuri ya ulimi, kama unampenda jishushe, usipande juu kabla yake Wala baada ya yeye kupanda juu.... Magumu yapo but relax... nimejifunza kutoka kwangu mwenyewe... Kuna neno nishawahi tamkiwa, Kali, baya, chungu.... japo aliomba msamaha but linanotafuna mpaka Leo..... utaomba msamaha Kwa kuropoka neno baya utaambiwa umesamehewa lakini unakuwa umemwachia kovu mwenzio... Kwa mfano mwenzio ameanza kuwa na tatizo la nguvu za kiume, siku mmekwazana,wewe ukasema"nawe unajiona mwanaume katika wanaume na😏 juu" Aisee huyo jamaa hatokuja akae sawa mpaka anaingia kaburini, yaan atakuwa akitaka kuchomeka tu,anakumbuka neno lako Ivo anajua unamchora tu hapo!🙄☹️. Nina mtoto wa kiume naumia wanapoumizwa, wengine hata hawakupata malezi mazuri toka Kwa wazazi wao tuwalee hata Kwa nusu bas kama kina mama, Kuna muda mruhusu mlie pamoja anapokuwa na maswahibu toka job, wanakutana na mengi wanakosa pa kulalamikia😭 daah, hata sielewi naumia na Nini wakati niliumizwa nao😭😭😭😠😏
NB: Tumieni vyombo Ivo jamani, kufa kwaja .... daah!🤨
Wewe hebu tuwasiliane niwe nakuuzia cement[emoji1787]naomba itue uyole mbeya...nimeanza msingi mkuu [emoji119]
Mtoa mada anazungumzia Wanaume ambao kuchepuka kwao ni asili kwa comment zao 😬Nabold uzi 🙂🙂
Hawapendagi kupimiwa mbususu
Ila bado kuna wengine utabinuka mpaka utenguke maini ila kutulia na wewe ni nehiii… labda akuheshimu kwa kucheat kwa akili sana ili usijejua.
Wale ME ambao msipopimiwa na nyie mnakuwa ma gentle in all aspects aiseee mubarikiweeee, na wallet zenu zisikose manoti 😉🤪😋😋.
Hatari upate mwanamke anagegeduana kila sehemu kama hiyo ya kuinama kwenye kochi tamu kweli
No one know tomorrow ukiwa una reasoning sana Kuna mambo utafanya alafu baadae hutaanza kujilaumu, ukipata nafasi una enjoy mkiachana hayo ni matokeoExactly,kwa hiyo hayo uliyoandika yafanyike hayasaidii kitu... kama sio wako hata utoe figo kwa ajili yake hawezi kubaki
Kama mmependana mtaishi kama binadamu wa kawaida,haitakiwi kuwepo upande mmoja unaofanya jitihada nyiiiingi ili mahusiano yenu yadumu
Kumridhisha binadamu ni ngumu