Hawa wanaume hatujawajulia tu

Hawa wanaume hatujawajulia tu

Best unaweza shangaa mko porini gari imepoteza uelekeo kujua imekuwaje. Kapeace kajua kunichekesha.
Kwanini ipoteze uelekeo!! Ni vimichezo vidogo visivyohatarisha usalama sio kila siku kuchokozana ni hadi muwe kitandani
Vijimambo ni vingi siwezi vimaliza humu eti, Kuna siku safarini alinivulisha pichu na akawa anainusa njia nzima,,, nadhani utavuta picha nini kilitokea upenyo ulipopatikana,
 
Hayo ndo mapenz sasa, mapenz ni uchiz🤣🤣😜
 
Back
Top Bottom