Yote ni majizi tuWanagawa pesa kama njugu bila hata ya aibu.
Wana uhakika gani kama majina yao yatarudi?
Na hizi pesa wanazogawa wamezipata wapi?
Kwa nini Takukuru haiwachukulii hatua?
Kwani hoja yenu ya No Reforms, No Election ndio imeisha baada ya Mkutano Mkuu wa Dharura wa CCM?Wanagawa pesa kama njugu bila hata ya aibu.
Wana uhakika gani kama majina yao yatarudi?
Na hizi pesa wanazogawa wamezipata wapi?
Kwa nini Takukuru haiwachukulii hatua?
Anyooshe kidole tumeoneCCM wote ni wezi na hakuna mwenye ako na moral authority ya kumkemea mwingine
uko sahihiPrinciple of betting

ur rightSiku zote Mafanikio huwa ni Risk..

40?Jana nimeshuhudia 40 kilamjumbe akipewa
Toa taarifa TAKUKURU..TAKUKURU watailinda taarifa yako.Wanagawa pesa kama njugu bila hata ya aibu.
Wana uhakika gani kama majina yao yatarudi?
Na hizi pesa wanazogawa wamezipata wapi?
Kwa nini Takukuru haiwachukulii hatua?
we mkenya nitajie chama gani ambacho zio wezi..CCM wote ni wezi na hakuna mwenye ako na moral authority ya kumkemea mwingine
toa taarifa TAKUKURU halafu utuletee mrejesho wamechukua hatua gani.Kule Moshi Kuna mmliki wa vituo vya mafuta,amegawa fedha hadi kamati kuu
Kwani hoja yenu ya No Reforms, No Election ndio imeisha baada ya Mkutano Mkuu wa Dharura wa CCM?