GE2025 Hawa watia nia wa CCM wanaogawa pesa kabla majina hayajarudi wana uhakika gani?

GE2025 Hawa watia nia wa CCM wanaogawa pesa kabla majina hayajarudi wana uhakika gani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
TAKUKURU ipi hiyo?

Hujui kuwa taasisi inayohusika na kudhibiti rushwa ndio inaongoza kwa rushwa.
 
Takukuru usiwalaumu, wamezidiwa. Kiongozi siku zote yupo sahihi. Tangu zilipo anzwa kusambazwa pikipiki na baiskeli za maandishi ya kijani zikihusisha kampeni ya mgombea mmoja mkuu, takukuru wakanyanyua mikono.
 
Shoga ni mimi au wewe unayedandia waume wenzio? Nikushauri tu, mimi sinaGA utani na napendaGA sana kujaribujaribu! We jifanye unanijua!!
Nilishakuambia mimi sio mfiraji. Nenda Zanzibar ukatafute wafiraji
 
Acha kujitongozesha mwanaume. Mfuate Amsterdam. Anayajua sana hayo mambo.
We shoga na malaya nani anayejitongozesha zaidi ya wewe unaedandia nyuzi za wanaume? Basi uje unyonye mb...óoooo maana unanig'ag'ania mno
 
Itakua wanaanza kwanza na hao Takukuru wanawagawia ndipo wanaenda kuzimwaga kwa wajumbe.
Siyo kwa mgao hule, wanazitoa wazi wazi tena wanashindana.
 
Sema asilimia kubwa ya wajumbe hawana akili timamu wangekuwa na utimamu wa akili hayo ni ya kuyanyima kula.
 
Back
Top Bottom