Paul Mackie
Senior Member
- Feb 20, 2025
- 102
- 130
We mtusi hebu tuliawe mkenya nitajie chama gani ambacho zio wezi..
We mtusi hebu tuliawe mkenya nitajie chama gani ambacho zio wezi..
Taja majinaWanagawa pesa kama njugu bila hata ya aibu.
Wana uhakika gani kama majina yao yatarudi?
Na hizi pesa wanazogawa wamezipata wapi?
Kwa nini Takukuru haiwachukulii hatua?