KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Nilikwambia umechoka, unang'aka.Nasoma nimefumba macho?
Kwahiyo tunachotakiwa kufanya sasa hivi ni kupambana na utafiti kujua kwanini tumebahatika, hicho tu?
Sina muda tena wa kupoteza hapa.
Nilikwambia umechoka, unang'aka.Nasoma nimefumba macho?
Kwahiyo tunachotakiwa kufanya sasa hivi ni kupambana na utafiti kujua kwanini tumebahatika, hicho tu?
Nilidhani unajua kitu angalau kidogo, kumbe hakuna?Corona janga jipya wataalam wenyewe bado nso kama wanajifunza kuhusu mambo yake ndio maana unaona kumekua na taarifa na kubadilika badilika mara kwa mara.
Mass graves zinafanywa na serikali na si ndugu wa marehemu,huku tunazikana wenyewe,hivyo kila mtu anaamua akazike wapiWatu mitaani wanakufa kama nzi?
Mass graves zipo kweli? Kama zipo, zipo wapi?
Nilikwambia umechoka, unang'aka.
Sina muda tena wa kupoteza hapa.
Ziko wapi sasa hizo mass graves?Mass graves zinafanywa na serikali na si ndugu wa marehemu,huku tunazikana wenyewe,hivyo kila mtu anaamua akazike wapi
Nilidhani unajua kitu angalau kidogo, kumbe hakuna?
Basi inatosha.
Mkuu tutumie kugha gani ili tuelewane?Ziko wapi sasa hizo mass graves?
Bro, muache tu huyo jamaa. Mimi Naona kama unapoteza tu muda na nishati yako kujaribu ku ‘reason’ naye.Kama umepoteza muda wote huu na mtu asiyejua kitu hauoni uko na shida zaidi?
Ziko wapi sasa hizo mass graves?
Tujaribu Kiswahili.Mkuu tutumie kugha gani ili tuelewane?
Hapo juu nimeandikaje kwanza,Tujaribu Kiswahili.
Ni hivi, hayo makaburi ya halaiki yako wapi?
Duh!Hapo juu nimeandikaje kwanza,
Mkuu hakuna tatizo na tz watu hawafi,Cha kushangaza zaidi hata kutangaza kuwa tuna vifo 0,maambuki mapya 0 hatuwezi,Mwamba hakuna kitu utaambulia hapa.
Kuna mmoja nimemuuliza, tufanye serikali yetu ilikosea ilivyoshughulikia Covid, tulitakiwa tufanye namna gani na kwa sasa kipi kifanyike?
Anajibu kufuata ushauri wa kitaalam, namuuliza upi huo? Weka hapa tuelekezane serikali inachotakiwa kufanya. Anabadilisha maneno tu.
Watu wanajichanganya sana, Corona ipo iliua watu na huenda inaendelea kuua watu(sina uhakika sana). Tunachopinga, tatizo halipo kama tulivyopigiwa kelele awali kitu ambacho hali isingekua kama ilivyo sasa hivi endapo tungechukuliwa na ule upepo.
Mass grave nini mkuu nisaidie naweza kuwa sielewi kweli?Duh!
Naona kama vile hata hujui maana ya mass grave wewe.
Mkuu hakuna tatizo na tz watu hawafi,Cha kushangaza zaidi hata kutangaza kuwa tuna vifo 0,maambuki mapya 0 hatuwezi,
Afrika maisha ya mtu hayana thamani, hata kabla ya hiyo Corona watu walikufa kwa sababu za kijinga sana.Toka mwanzo na mpaka sasa, msimamo wangu kuhusu hii Corona ni sawasawa na ule wa Rais Magufuli.
Si ajabu pia, kuwa, msimamo wangu waweza kuwa ni mkali zaidi kushinda hata huo wa Rais Magufuli.
Yaani, COVID-19 si hatari kama tulivyoaminishwa. Tumelishwa matango pori.
Jana nilimwona Bernard Membe akienda kuchukua fomu za kugombea urais.
Alipofika hapo ofisini, akasalimiana na mtu kwa kushikana mikono. Sikuona watu wakiwa wamevaa upuuzi wa barakoa. Sikuona watu wakiwa wamekaa mbalimbali.
Wakina mama waliokuwepo walikuwa wakiimba. Inasemekana katika kuimba, vichembe chembe vya mate huwa vinaruka na hivyo kuwezesha kiurahisi maambukizi ya magonjwa mbalimbali.
Kipindi Corona inabamba, hawa watu wa kambi ya upinzani ndo walikuwa mstari wa mbele kumnanga Rais Magufuli kuhusu msimamo wake wa hivyo virusi.
Sasa hebu tazama video hii! Imekuwaje? Hao wapinzani sasa wamekubali kuwa Corona si hatari kivile?
Mpende au umchukie, kiukweli Magufuli kwa misimamo yake lazima umheshimu tu.
Kwa hiyo kwa akili yako hizi mass graves zimechimbwa na familia za wafiwa?
Mkuu pamoja na umbumbumbu wako,naomba nikufahamishe kuwa Tanzania si kisiwa,so our government has a number of clients to save including wananchi and other many many stakeholdersSasa Balozi, tutangaze kwa maslahi ya nani?
Wakibainika wagonjwa, zaidi ya kuwekwa karantini hakuna dawa wanayopewa zaidi ya kuchukua tahadhari ili wasiambukize wengine.
Na kwakuwa sie kimiujiza hutuondoi sana unaugua na kupona kwanini tuendelee kupoteza rasirimali kushughulisha watu kupima?
Vifo vya Corona kwa sasa kama ilivyo kwa magonjwa vinashughulikiwa kama ilivyo maradhi mengine. Havitangazwi.
Nilimsikia Waziri wa utalii na maliasili akisema sio kwamba hawana taarifa, kilichobadilika ni namna ya kuzitoa (ziwapate wanaohusika kwa sababu maalum). Hakuna haja ya kupanikishana.
Dah!Kwa hiyo kwa akili yako hizi mass graves zimechimbwa na familia za wafiwa?