Hawa watu sasa wamekubali kuwa Corona imeisha?

Nasoma nimefumba macho?
Kwahiyo tunachotakiwa kufanya sasa hivi ni kupambana na utafiti kujua kwanini tumebahatika, hicho tu?
Nilikwambia umechoka, unang'aka.

Sina muda tena wa kupoteza hapa.
 
Corona janga jipya wataalam wenyewe bado nso kama wanajifunza kuhusu mambo yake ndio maana unaona kumekua na taarifa na kubadilika badilika mara kwa mara.
Nilidhani unajua kitu angalau kidogo, kumbe hakuna?
Basi inatosha.
 
Watu mitaani wanakufa kama nzi?

Mass graves zipo kweli? Kama zipo, zipo wapi?
Mass graves zinafanywa na serikali na si ndugu wa marehemu,huku tunazikana wenyewe,hivyo kila mtu anaamua akazike wapi
 
Kama umepoteza muda wote huu na mtu asiyejua kitu hauoni uko na shida zaidi?
Bro, muache tu huyo jamaa. Mimi Naona kama unapoteza tu muda na nishati yako kujaribu ku ‘reason’ naye.
 
Ziko wapi sasa hizo mass graves?

Mwamba hakuna kitu utaambulia hapa.
Kuna mmoja nimemuuliza, tufanye serikali yetu ilikosea ilivyoshughulikia Covid, tulitakiwa tufanye namna gani na kwa sasa kipi kifanyike?
Anajibu kufuata ushauri wa kitaalam, namuuliza upi huo? Weka hapa tuelekezane serikali inachotakiwa kufanya. Anabadilisha maneno tu.

Watu wanajichanganya sana, Corona ipo iliua watu na huenda inaendelea kuua watu(sina uhakika sana). Tunachopinga, tatizo halipo kama tulivyopigiwa kelele awali kitu ambacho hali isingekua kama ilivyo sasa hivi endapo tungechukuliwa na ule upepo.
 
Mkuu hakuna tatizo na tz watu hawafi,Cha kushangaza zaidi hata kutangaza kuwa tuna vifo 0,maambuki mapya 0 hatuwezi,
 
Mkuu hakuna tatizo na tz watu hawafi,Cha kushangaza zaidi hata kutangaza kuwa tuna vifo 0,maambuki mapya 0 hatuwezi,

Sasa Balozi, tutangaze kwa maslahi ya nani?
Wakibainika wagonjwa, zaidi ya kuwekwa karantini hakuna dawa wanayopewa zaidi ya kuchukua tahadhari ili wasiambukize wengine.
Na kwakuwa sie kimiujiza hutuondoi sana unaugua na kupona kwanini tuendelee kupoteza rasirimali kushughulisha watu kupima?

Vifo vya Corona kwa sasa kama ilivyo kwa magonjwa vinashughulikiwa kama ilivyo maradhi mengine. Havitangazwi.

Nilimsikia Waziri wa utalii na maliasili akisema sio kwamba hawana taarifa, kilichobadilika ni namna ya kuzitoa (ziwapate wanaohusika kwa sababu maalum). Hakuna haja ya kupanikishana.
 
Afrika maisha ya mtu hayana thamani, hata kabla ya hiyo Corona watu walikufa kwa sababu za kijinga sana.

Sasa kwa nini utegemee Corona ibadilishe hilo mara moja?

Ukweli kwamba huu ni ugonjwa mpya ambao haujajulikana vizuri tu unatosha kuwafanya watu wachukue tahadhari.

Sisi kama kawaida tunaishi "kwa kudura za mwenyezi Mungu" tu.

Hata Magufuli katika maelezo yake anamtaja sana Mungu kama sehemu ya suluhisho letu.

And no, I am not endorsing the existence of God. I am describing a mindset.
 
Mkuu pamoja na umbumbumbu wako,naomba nikufahamishe kuwa Tanzania si kisiwa,so our government has a number of clients to save including wananchi and other many many stakeholders
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…