Basi hutaki kuelewa ninachoandika kama huoni ninachokitaka katika maandiko yooote niliyoweka hapa, na siwezi kukulazimisha uyaone kuwa ni mapendekezo.
Nimekwishakueleza toka mwanzo, kosa la kwanza lililofanyika ni tabia ya kuficha ficha mambo, ukidhani hayatafahamika.
Mambo kama corona huwezi ukaficha, kuwa tu mkweli watu wajue.
Historia ya muda mfupi inatuonyesha kuwa hiyo ndio tabia yetu, ya kuficha ili "watalii" wasiogope kuja.
Binti Malicela na Zika yake humkumbuki? Huko ndiko tulikotokea hadi tukaingia kwa corona.
Nimekwishakueleza: sehemu mhimu ya kufanya jambo lolote ni kufuata taratibu zinazofahamika. Wataalamu watatoa ushauri, zingatia wanayosema na usiwatishe hata wengine kuwatumbua, kama yule waziri mdogo wa Afya.
Fanya maamuzi katika misingi ya taratibu.
Hili ni janga la dunia, sio la Tanzania pekee, kutumia tu hisia, eti kwa misingi ya hisia, na kuuita 'uthubutu' ni upotofu wa hali ya juu, pamoja na kwamba bahati yetu ndio hiyo imetuvusha wakati huu.
Sasa unataka nipendekeze nini, nikubali tu kwamba Corona haipo Tanzania sasa hivi?
Ngoja nimalize kwa kukupa pendekezo langu la mwisho:
Hii iwe ni fursa kwetu , kwa nchi yetu kuimarisha uwezo wetu wa kushughulikia majanga kama haya yanapojitokeza.
Kwa mfano. Hadi sasa hakuna anayefahamu bahati yetu imetokana na nini. Sizungumzii bahati ya Tanzania pekee, hata huko kwa majirani zetu wanakopima na kutangaza corona haikuathiri kama ilivyoathiri sehemu zingine duniani.
Kwa nini tusianzie hapa kuimarisha wataalamu wetu na sehemu zao za kazi kuanza kufanya tafiti za namna hii na nyinginezo. Kisingizio mara nyingi ni uwezo wa kipesa, lakini hili sio sahihi kiujumla. Uimara wa tafiti za mambo kama haya hutegemea mashirikiano na wadau mbalimbali duniani, ambao wanaweza kushiriki na tukawa imara kupitia njia hizo.
Huenda ni mimi nisiyejua. Hebu nipe mfano wa maabara zetu zinazojishughulisha na tafiti kama hizi.
Sitaki kuandika kitabu kwa mtu kama wewe uliyeshikilia msimao ulioushikilia kiasi kwamba unasoma umefumba macho.
Kwa hiyo hiyo ndiyo ikawa sababu ya kuacha kupima kabisa?
Mbona huko kwingine wanapima.
Ndio, nilisikia WHO wakikanusha kuhusu ubovu wa vipimo, sasa sijui kama ni hivyo unavyoandika hapo juu au hivyo nivingine.
Na kama una 'background' ya sayansi ya aina yoyote, huwezi kuchukulia ile njia iliyotumika kuashiria ubovu wa vipimo vile. Ile ilikuwa ni njia ya mtu asiye elewa chochote kuhusu tathmini ya ubora wa vipimo.
Tungekuwa na Rais mwenye uthubutu wakati UKIMWI unaingia wala usingekuwepo Tanzania😁
Sijui kama kichwani wewe ni mzimaToka mwanzo na mpaka sasa, msimamo wangu kuhusu hii Corona ni sawasawa na ule wa Rais Magufuli.
Si ajabu pia, kuwa, msimamo wangu waweza kuwa ni mkali zaidi kushinda hata huo wa Rais Magufuli.
Yaani, COVID-19 si hatari kama tulivyoaminishwa. Tumelishwa matango pori.
Jana nilimwona Bernard Membe akienda kuchukua fomu za kugombea urais.
Alipofika hapo ofisini, akasalimiana na mtu kwa kushikana mikono. Sikuona watu wakiwa wamevaa upuuzi wa barakoa. Sikuona watu wakiwa wamekaa mbalimbali.
Wakina mama waliokuwepo walikuwa wakiimba. Inasemekana katika kuimba, vichembe chembe vya mate huwa vinaruka na hivyo kuwezesha kiurahisi maambukizi ya magonjwa mbalimbali.
Kipindi Corona inabamba, hawa watu wa kambi ya upinzani ndo walikuwa mstari wa mbele kumnanga Rais Magufuli kuhusu msimamo wake wa hivyo virusi.
Sasa hebu tazama video hii! Imekuwaje? Hao wapinzani sasa wamekubali kuwa Corona si hatari kivile?
Mpende au umchukie, kiukweli Magufuli kwa misimamo yake lazima umheshimu tu.
Wapinzani wengi ni wavivu wa kufikiri!Sijui kama kichwani wewe ni mzima
Maisha ya Zitto, Lema na wewe mpo sawa? kama siyo unaishi kwa shemeji yako mpuuzi wewe.Wapinzani wengi ni wavivu wa kufikiri!
Hili suala la corona hapa Tz limewafanya wapoteane kabisa!
Kina Zitto na kina Lema wanarundikana tu kwenye mikutano muda huu bila hata barakoa wala distancing,
Hapa inaonesha wamekubali corona siyo tishio kwa maisha yao tena!
Viva JPM, kipigo kwa wapinzani oktoba kiko palepale
Ndio kusema wao hawawezi kupata corona?Maisha ya Zitto, Lema na wewe mpo sawa? kama siyo unaishi kwa shemeji yako mpuuzi wewe.
Mlivyokuwa mmejazwa Dodoma mbona hukusema zaidi ya watu elfu 10? Shame on youNdio kusema wao hawawezi kupata corona?
Kwahiyo hata wale wafuasi wao nao wanaishi kwa mashemeji zao?
Sisi tulikubaliana na Rais wetu kwamba corona si tishio tena kwa maisha yetu!Mlivyokuwa mmejazwa Dodoma mbona hukusema zaidi ya watu elfu 10? Shame on you
Kushkana nikino, kutonawa, kusogeleana na kutovaa barakoa ni ishara ya kukubali kuwa haipo.Hujawahi tofautiana na Joseph kwa lolote hivyo hata hili haishangazi unaposema msimamo wake wako. Tukirudi kwenye mada.. Sijaona mahali walipoonesha kukubali kuwa covid19 imekwisha
Kinachokuuma ni nini?Sisi tulikubaliana na Rais wetu kwamba corona si tishio tena kwa maisha yetu!
Je, na nyie huko kujazana kwenu bila tahadhali mmeshakubaliana na Rais kwamba corona si tishio tena?
Inapendeza.Huu msimamo utumike pia katika Ebola na UkimwiHata vyama vya upinzani kimoyomoyo si ajabu wanaukubali msimamo wa Magufuli.
Maana kama wangekuwa hawamkubali, basi kwenye mikutano yao wangekuwa wanafanya tofauti.
Hebu ona hii shughuli ya Zuchu jana. Hakuna cha barakoa. Hakuna social distancing. Hakuna hofu ya korona.
Yaani COVID-19 ni ancient history 🤣🤣
Na bado mpaka atatembea matakoo wazi kwa kuchanganyikiwa pumbavuu zao mafisadi wakubwa hao magufuli ni kiboko cha wahuni serikalini lazima watiiYaani mambo yanaenda race Sana. Jamaa enzi zile alikua anakula Bata UN HQ- New York City na Mkwere na safari dunia nzima leo anaenda uswazi kutafuta fomu? Aisee
Unaweza kuwa na misimamo ya kijinga, what we need is a leader to make informed decision.Daktari mmoja wa WHO alisema haafiki kutokutoa taarifa za maambukizi ila anamsifu JPM kwa kuwa na msimamo. Akasema lockdown kwa nchi zetu haiwezi leta tija.
Akamalizia yeye anapenda sana mtu anayesimamia maamuzi yake na kutokuyumbishwa, akaenda mbali zaidi kwamba hata kama anachosimamia hakipo sahihi ila kwake ni ule msimamo wa mtu ana uheshim sana kuliko mtu anaebadilikabadilika.
Unaweza kuwa na misimamo ya kijinga, what we need is a leader to make informed decision.
Inawezekana isiwepo lakini upinzani ulikejeli sana hii ishuTafuta hata post yangu moja nilipoandika jpm alikosea kwenye covid
Hakuna kinachoniuma mkuu! Ila nafrahi kwamba wote sasa hivi tunaongea lugha moja na rais wetuKinachokuuma ni nini?
‘COVID-19 specialist’, rejea ya takwimu zako iko wapi? Toka jana nakuomba lakini unakwepa.Inapendeza.Huu msimamo utumike pia katika Ebola na Ukimwi
Mwambie, tulicheza patapotea, tukabahatisha sana, sasa ni wakati wetu kujisifu kwa bahati yetu nzuri hiyo.. Sasa tunaweza kuuambia ulimwengu wote waje hapa kujifunza jinsi ya kushughulikia magonjwa ya aina hiyo pindi yakitokea tena huko mbeleni.